Swali kuhusu Bomu la atomic Hiroshima

Hata mim naona, mim kipindi hicho nilikuwa na miaka 22 na watoto 4, aisee ilikuwa mbaya! mbaya! mweee!!!

Sasa umenikumbusha, kipindi naenda vitani niliacha mwanamke mmoja amejifungua mtoto wangu, enzi zile tulikuwa tunaishi pale Mzizima, (sasa ni Ocean road)...niliporudi nikakuta wamehama!

Bila shaka ni ww, Afadhali nimekuona!
 
Sasa umenikumbusha, kipindi naenda vitani niliacha mwanamke mmoja amejifungua mtoto wangu, enzi zile tulikuwa tunaishi pale Mzizima, (sasa ni Ocean road)...niliporudi nikakuta wamehama!

Bila shaka ni ww, Afadhali nimekuona!

Si ndio maana nimekukumbusha, ajabu nimekutafuta muda mrefu nikueleze habari za watoto wetu lakini sikukupata, sasa ujue watoto wetu wapo kwenye mpambano mkali, yule John yupo na El wananisumbua sana, kaa nao basi waambie mmoja amwachie haka ka nchi mwenzie tu. Hahahaha!
 

Tatizo wale hawajuani km ni ndg, halafu kuna mmoja alizaa na mwanamke mmoja huko Ntwara mtoto akaitwa Mnape yy alivo mjinga akamkataa!

Huyu mjukuu wangu nae ni km amelaaniwa maana anaropoka ropoka tu km mbwa kichaa😎

Nitakutana nao niwape usia, ila na ww mama yao uwepo!
 

Tobaaaaaaaaa!!!!! Wallah!!! Okoa haka kaukoo dah!!!! Wacha mi niendelee na kuvuna, maana mjukuu kama kamefuata akili za babu yake vile lol.
 
Dah... Wajapan walikuwa na roho ngumu kiasi hiko kwanin? Yaan pamoja na mabomu yote hayo hawakusurrender???

walisarenda bana, ila kabla ya bomu ndio walisema mtu mzima hatishiwi nyau, nakumbuka na story ya vita ya vietnam, hawa wamarekani walidondosha bomu la kufyeka msitu ambapo miti yoote ililala na mitego yako kufyatuka, hivyo mviet akanyanyua mikono juu,
 
Aisee shujaa Babu. Umri utakuwa umekukimbiza haswaa kama hadi saa hii "ukufuta"(UNAHEMA)..
 
Habari wakuu leo ni kumbukumbu ya miaka sabini tangu kuangushwa bomu la atomic huko Iroshima Japan na kuuwa watu wengi na kuacha madhara kwa baadhi ya vizazi. R i p waliopoteza maisha

Hilo bomu liliangushwa na magaidi wa kiislamu wenye msimamo mkali???
 

kumbe bora ya osama kuliko mmarekani.........
 

Acha uongo wewe.....Mviet hakuwahi kusarenda vita hiyo. Mmarekani ndiye aliyekimbia. Halafu mnavyoshabikia mmarekani anavyoua watu nawashangaa sana maana linapokuja suala la mwarabu kuua watu mnamwita gaidi. Dhambi ya kuua ni moja tu haijalishi nani kaua......
 

asante kwa ufahamu mie nilikuwa naelewa hilo, asante kwa kunitoa tongotongo
 

Huyu jamaa muongo sanaaaa duuu
 
Nasikia Mengi yakisemwa kuhus hili bomu ati huko hakuoti majani wala miti ati watoto wanazaliwa vilema nk

waelewa wa mambo tujuzeni hakika

 
Mleta mada anataka mumdadavulie kwa kiswahili, hizi lugha za hawa watu weupe zinaumiza kichwa kuzielewa
Please miss chaga ebu ebu tuambie kwa lugha mama, madhara yanayopatikana huko hadi leo
 
kama walikuw awajazoea baridi,mbon kipigo kiliendelea mpaka kwao,au kwao pia awakuzoea barid
 
war didnt end with the surrender of japan though...it was when the russian army enter berlin and take control of the statehouse
wahuni wamepindua historia kichwa chini miguu juu, ni kama ilivyo kwa tanzania
 
Kwa hapo sidhani kama utakuwa sahihi kuiita USA kuwa taifa la kigaidi. Hapo ilikuwa ni kipindi cha vita na kama unavyojua vita ni vita tu. Lakini pia tukio hilo ndio lililosaidia vita hivyo (WWII) kuisha mapema !
yupo sawa kuwaita magaidi, wale vibwengo wanaozaliwa mpaka leo hii kule japan ni sababu yao.
tafuta na hii inayoitwa little Hiroshima kasha malizia na Vietnam war ,hapo ndio utajua kama hao ni watu au wanyama..kuliko hao wanaoitwa magaidi wa dunia ya leo
 
kama walikuw awajazoea baridi,mbon kipigo kiliendelea mpaka kwao,au kwao pia awakuzoea barid
kunaweza kuwa kwenu kukawa na gereji lakini usijue ata kushika spana nimesema ujerumani hawakuwa trained katk vita vya baridi na snow ni kama vile kupigana jangwani au porini inatakiwa kuwa trained leo aliezoea kupigana vita vya jangwani ukimpeleka Msitu wa amazon atashindwa au kupata tabu sana kuzoea yale mazingira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…