Kuna watu wanachekesha humu!! Inawezekana vipi uombe nafasi ya kazi kisha ushindwe kujua siku yako ya usaili, yaani wewe umeshafeli usaili!!! Watu waliosoma akaunti wapo sehemu mbili, sehemu ya kwanza wapo pale ktk investigation officer, pili wapo wanajitegemea ambao wamepewa jina la assistant accountants, sasa cjui unahitaji wapi?!!