Swali hili liende kwa vijana wanao tarajia au ndio wameanza maisha ya kijitegemea.

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,378
12,573
Kwa kijana ambae umefikia wakati huo, je unamarafik ambao ni zaidi ya marafik, ambao hawez kula peke ake na akuone wew ukilala njaa???

Rafik ambae shida yako anaichukulia kama yake?

Je umejarbu kufikiria kuwa unaweza kuwa karbu na rafik wa kujaliana hivi??

Kwa wanaume ambao tumeingia kwatika maisha ya kigeto geto, je unae rafik ambae mnafanana itikadi kiasi kwamba mbali na kazi unaweza kukaa nae muda wote na mkaongea mkashare mambo mbalimbali na kuwa ni watu wa furaha siku zote???

Unao marafik hao je uliwapata katika mazingira gan?


Namkubali mshikaji wangu kuliko hata demu wangu.

By Suriya aka Baba Geeta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom