Swali hili alilouliza Gwajima kwenye press zake, majibu yake yanaenda kupatikana muda si mrefu

Swali hili alilouliza Gwajima kwenye press zake, majibu yake yanaenda kupatikana muda si mrefu

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Wao ni wachache, wananchi ni wengi

Lile swali alouliza Mzalendo Gwajima: Je akitekwa mtoto wako, akauliwa, akatobolewa macho, Utajisikiaje ?. Majibu yake yatapatikana muda si mrefu.

Vijana wameuliwa Kikatili sana.
Maiti zinateketezwa Kwa kuchomwa.
Maiti zinazikwa Kwa pamoja.

Lengo lao ni kuzalisha Ombwe la 'Ndugu yetu hatujui kama yupo hai au alikufa '
 
Back
Top Bottom