[FONT=Palatino Linotype, serif]Ndugu Zangu, Watanzania Wenzangu;[/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Naomba kurudia kukumbusha kuwa uchaguzi ulishaisha Oktoba 31, 2010 na malumbano ya kampeni za uchaguzi yalimalizika wakati ule. Sasa ni wakati wa kuendelea kufanya shughuli zetu za kawaida za kujiletea maendeleo yetu wenyewe na ya nchi yetu. Kuendeleza malumbano na kuendelea kuishi kama vile kampeni za uchaguzi bado zinaendelea siyo sahihi hata kidogo. [/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Najua wapo baadhi ya wanasiasa na vyama vya siasa ambavyo vimepanga mikakati ya kuendeleza malumbano ya uchaguzi na kutaka Watanzania waishi kama vile nchi ipo kwenye kampeni za uchaguzi.[/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]Wamepanga wakati wote kutafuta jambo au hata kuzua jambo ili kuwachochea wananchi waichukie Serikali.
Huyu jamaa ana akili na ni makini sana kila mtu ana kwao na ana ndugu sasa asiende kwao? jamani kipindi cha kumdharau ni lini kitakwisha ? kwani kwa sasa yeye ndiye Rais tutake tusitake tusubiri 2015 kwani keshakubali KATIBA mpya
[/FONT]