Hiyo inayofanana na ya Tanzania, ambayo ina rangi ya kijani, mstari mwekundu katikati, na bluu na nyota ya njano ni Bendera ya NAMIBIA. Hiyo nchi imepata uhuru mwaka 1990. Mji mkuu wa NAMIBIA ni Windhoek. Zingine zimejibiwa sina haja ya kurudia, labda kama kuna mpya nyingine.