Pongezi kwa chama tawala kwa kupeleka kiswahili fil uman.!!
wasahelwaswahel bana
Jr
Nakubaliana na weweMkuu hapo oman kiswahili ni lugha ya pili baada ya kiarabu, pia wanzanzibar hapo ni nyumbani na wazigua kutoka tanga wapo wa kutosha, na waoman wanaamini zanzbar ni miliki yao ni swala la muda tu kwahy kujifunza au kuzungumza kiswahili ni kitu cha kawaida. Nilipata bahati ya kufika hapo mascut
Sent using Jamii Forums mobile app