abdulbasit
Member
- Oct 30, 2018
- 7
- 19
hifadhi jina = dai("unaitwa nani: ");
andika "karibu "+jina+;
andika "
1. saizi yako
2. siku + Bonas
3. wiki + Bonas
4. halichachi
";
hifadhi chaguo = dai("weka chaguo lako: ");
wakati(chaguo > 0){
chagua (chaguo){
kesi 1:
andika "umejiunga kifurushi cha saizi yako";
vunja;
kesi 2:
andika "umejiunga kifurushi cha siku";
vunja;
kesi 3:
andika "umejiunga kifurushi cha wiki";
vunja;
kesi 4:
andika "tumia kifurushi chako bila kikomo";
vunja;
zaidi:
hifadhi chaguo = dai("umekosea weka chaguo lako tena: ");
}
}
unaitwa nani: abdulbasit
karibu abdulbasit
1. saizi yako
2. siku + Bonas
3. wiki + Bonas
4. halichachi
weka chaguo lako: 7
umekosea weka chaguo lako tena: 8
umekosea weka chaguo lako tena: 7
umekosea weka chaguo lako tena: 4
tumia kifurushi chako bila kikomo
#include <iostream>
#include <string>
using namespace std;
int main(){
string jina;
int chaguo;
cout<<"unaitwa nani";
cin>>jina;
cout<<endl;
cout<<"karibu "<<jina<<endl<<endl;
cout<<"1. saizi yako"<<endl
<<"2. siku + Bonas"<<endl
<<"3. wiki + Bonas"<<endl
<<"4. halichachi"<<endl;
cout<<"weka chaguo lako: ";
cin>>chaguo;
while(chaguo>0){
switch(chaguo){
case 1:
cout<<"umechagua kifurushi cha saizi yako"<<endl;
...
default:
cout<<"umekosea weka chaguo lako tena: ";
cin>>chaguo;cout<<endl;
}
}
}
hapana, swap ni lugha inayojitegemea, lakini interpreter yake imetengezwa kwa javascript, kama ilivyo python kuwa ni lugha inayojitegemea lakini interpreter yake imeandikwa kwa C.Swap ni JavaScript framework?? Ni scripting language?? Inherited from JavaScript????
nashukuru mkuuMkuu usisikilize hawa baadhi ya hopeless africans wao wanaamini chochote hakiwezekani that's why wanachojua ni kuponda tu wakishakaririshwa ili wapate ajira.
Good work mkuu naendelea kukufuatilia africa inahitaji watu kama wewe.