the happiest man
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 253
- 216
Mwanamke ntakaye kuwa naye mwaka huu 2017 awe tayari kwa yafuatayo...
1. akifika kwangu atakula kitakacho kuwepo na sio atakachotaka yeye.
2. kama anatumia pesa yangu kupendeza ile misuko ya kidoti,kinick minaj sijui asahau ni mwendo ya yeboyebo, yaani tunabandua yeboyebo tunaweka yeboyebo

3. kunipiga mizinga iwe ni kila baada ya mwezi mmoja...na sio kila baada siku 3.
4. mlimani city tutaenda kupunga upepo na kuenjoy A.C. tuu na sio shopping tena, shopping zetu kariakooo
5. Muda wa maongezi ntakuunganisha na kifurusha cha mwanachuo ili tuonane kwa ajili ya vocha kila mwisho wa wiki
kama baba magu anabana matumizi mimi ni nani hata nitumie pesa kama nazitengeneza mimi