Suzuki Swift inauzwa

Suzuki Swift inauzwa

Babafetty

Senior Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
110
Reaction score
110
Gari aina ya Suzuki Swift ipo katika hali nzuri sana, bei ni Tsh. 3,000,000/= ila inatatizo dogo katika gia box. ni automatoc, rangi nyeusi, lipo Dar Es Salaam. Wasiliana nami kwa simu Na. 0713 366 393.
 
Attachments

  • IMG_3165.JPG
    IMG_3165.JPG
    329.8 KB · Views: 515
Gari aina ya Suzuki Swift ipo katika hali nzuri sana, bei ni Tsh. 3,000,000/= ila inatatizo dogo katika gia box. ni automatoc, rangi nyeusi, lipo Dar Es Salaam. Wasiliana nami kwa simu Na. 0713 366 393.
Kama tatizo ni dogo tengeneza kwanza ndo uuze
 
Naitaka.
Vipi hilo tatizo la gear box nitaweza kulifix kwa sh.ngapi?
Lazima inunuliwe mpya?
 
Naitaka.
Vipi hilo tatizo la gear box nitaweza kulifix kwa sh.ngapi?
Lazima inunuliwe mpya?
Ndio manaake... Kama mwenyew kashindwa kurekebisha! Hapo tambua inabidi iyo gear box itafutwe mpya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom