N nyereu1 Member Joined Aug 9, 2014 Posts 15 Reaction score 18 Dec 9, 2018 #1 Jamani kuna kitu kinapiga kelele nikikata kuna naombeni kujua hiyo drive shaft inauzwa shilingi ngapi kulingana na maelezo ya fundi wangu kaniambia ndo imekufa
Jamani kuna kitu kinapiga kelele nikikata kuna naombeni kujua hiyo drive shaft inauzwa shilingi ngapi kulingana na maelezo ya fundi wangu kaniambia ndo imekufa
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,079 Reaction score 69,499 Dec 10, 2018 #2 Wataalam Wanakuja