S Shayla Senior Member Joined Mar 25, 2014 Posts 193 Reaction score 129 Jan 5, 2015 #1 Suzuki escudo inauzwa bei sh 8M. Cc 1500. imetembea Km 131000. Attachments 1420475031726.jpg 75.7 KB · Views: 509
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,302 Reaction score 13,341 Jan 5, 2015 #2 Shayla said: Suzuki escudo inauzwa bei sh 8M. Cc 1500. imetembea Km 131000. Click to expand... Yaani gari ya mwaka 1995 unauza bei hivyo na za mwaka 2005 ziuzweje sasa?
Shayla said: Suzuki escudo inauzwa bei sh 8M. Cc 1500. imetembea Km 131000. Click to expand... Yaani gari ya mwaka 1995 unauza bei hivyo na za mwaka 2005 ziuzweje sasa?
Wi_Fi JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 211 Reaction score 193 Jan 5, 2015 #3 Mmhhh mm napita
Mtumiabusara JF-Expert Member Joined Nov 18, 2009 Posts 473 Reaction score 40 Jan 6, 2015 #4 Nikupe 4m
Anko Sam JF-Expert Member Joined Jun 30, 2010 Posts 3,254 Reaction score 908 Jan 6, 2015 #5 Wastaafu wengi sana wanapenda aina hii ya gari, sijui kwa nini!
mob JF-Expert Member Joined Dec 4, 2009 Posts 2,262 Reaction score 1,360 Jan 6, 2015 #6 Anko Sam said: Wastaafu wengi sana wanapenda aina hii ya gari, sijui kwa nini! Click to expand... mkuu hizi gari ni mkataba utakaa nayo hadi mwisho ukiagiza kutoka japani hadi hapa ni milioni 11 cash zaidi ya alteza na verosa
Anko Sam said: Wastaafu wengi sana wanapenda aina hii ya gari, sijui kwa nini! Click to expand... mkuu hizi gari ni mkataba utakaa nayo hadi mwisho ukiagiza kutoka japani hadi hapa ni milioni 11 cash zaidi ya alteza na verosa