Suzuki Grand Vitara V6 Mayai

Suzuki Grand Vitara V6 Mayai

Ramthods

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
515
Reaction score
187
Wadau, kama kuna mwenye gari hii hapa chini iliyo katika hali nzuri ni PM kwa maongezi zaidi.

Suzuki Grand Vitara V6 Mayai

Ahsante
 
Wadau, kama kuna mwenye gari hii hapa chini iliyo katika hali nzuri ni PM kwa maongezi zaidi.

Suzuki Grand Vitara V6 Mayai

Ahsante

1. Mimi ninayo iliyo katika hali nzuri lakini sijajua unataka nikupm kwa lipi? Unataka kupata historia ya gari hii na performance yake inapokuwa katika hali nzuri???
2. A friend of mine ana kampuni ya kukodisha magari, na anayo gari hiyo- ipo katika hali nzuri; aku-PM pengine wataka kukodi?
Nambie yupi aku-PM? au wote? na msomaji alipaswa atambue kwa lipi kuwa anayetakiwa kukuPM ni wa kwanza au wa pili au pengine hawa wote wawili hawapaswi kuku-PM?? Grrrrrrr:frusty:
 
Wkeni picha hapa tuzione!!
 
mimi ninayo, ila sijajua lengo lako. Nimejaribu kukupm pia naona kimya.
 
Suzuki Grand Vitara Manual 2001year 2.5LPetrol 5 Doors, Manual, 4x4, Petrol, 80,000 miles, 1 Registered Kepeer since imported, Service History, Power Steering, Electric Mirrors, Drivers Airbag, Passenger Airbag, Central Locking, Immobiliser etc. Please note that this is a quick sale vehicle.This vehicle has hardly being used in Tanzania, I exported it for my own use but later changed my mind and decided to extend my residence abroad, if you are interested in and want to prove what im saying here just feel free to arrange viewing with us and you will be a witness. This machine is endeed bombastic, and its up for only 13M TSHS, WWHAT A BURGAIN PRICE, PLEASE PICK UP YOUR PHONE AND SPEAK TO MY YOUNG BROTHER ON 0713 09 94 30, or altenatively you can PM ME INSTANTLY HERE AT JF. Have a good viewing

GRAND VITARA.JPG
 
Uncle,

Thanks sana kwa post zenu. Kuna jamaa yangu aliomba nimtafutie kwa ajili ya kununua na nimeshapata tayari.

Asante sana wakuu.
 
Uncle,

Thanks sana kwa post zenu. Kuna jamaa yangu aliomba nimtafutie kwa ajili ya kununua na nimeshapata tayari.

Asante sana wakuu.
umeipata kwa bei gan mkuu, km waweza kutuwekea specification zake itatusaidia km reference
 
umeipata kwa bei gan mkuu, km waweza kutuwekea specification zake itatusaidia km reference

Year 2000, 107,000km, 2,500cc ilikua katika hali ya kuridhisha. A/C ilikua ya kuongeza gas, lakini vitu vingine havina shida.
Bei ya mwisho ilikua 9.2Mil.
 
Back
Top Bottom