Mlima meru
Senior Member
- Dec 30, 2012
- 114
- 20
Suzuki Eskudo (3 door)
kwa mnunuzi anayetaka anaweza kuni pm na kuja kuiona....pia naweza kutuma picha kwa email wakati wowote zikihitajika kwa email...email yangu: jafariabc@gmail.com au unaweza kuni pm
- Imefanyiwa overwhole Engine mwezi Nov 2013
- Imelipiwa sticker zote hadi Nov 2014
- Ina tairi mpya
- Ina cd music player
- Rangi yake ni maroon japo imefifia