Wakuu nauza Suzuki escudo ya mwaka 1995, cc 1500. Imetembea km 145000, bei inaanza 7.5 ila maongezi yapo. IPO mbezi mwisho ya kimara anayehitaji anipm.
We mzee tangazo la 2015Imeshaenda iyo ngoma?
Imeshaenda SASA hivi IPO starlet inaenda 6m. Maongezi yapoImeshaenda iyo ngoma?