unauzaje boss???Waungwana, Ningependa kujua kodi ya suzuki curry au kama kunamtu anaihitaji tafadhari tuwasiliane ili tufanye biashara.
Details:
Make: Suzuki Curry model 1991
Type: Truck
Egine Capacity: 650 CC
Year: 1991
Mileage: 57,179 Km
Natanguliza Shukrani
Weka picha halisi, na bei