Suzuki Carry Inauzwa

Suzuki Carry Inauzwa

Lady Ra

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
886
Reaction score
1,010
Wadau,

Jirani yangu anauza Gari tajwa hapo juu, na sifa zake ni hizi zifuatavyo;
Engine Capacity : CC 660
Importation Date : September 2013 (1Yr +2Months hapa Tanzania)
Imported from : Japan
Odometer : 95,618km
Contact : 0768 87 56 59 (Namba ya Mwenye Gari)
Location : Sinza, Dar es Salaam
Price: Tshs 5.3Mil

IMG_20141108_084533.jpg IMG_20141108_084628.jpg IMG_20141108_084606.jpg IMG_20141108_084600.jpg
 
Ok,uhusiano wa mtoa hbr na iyo gar n upii?maana kajitoa kbsa as if jiran hajamtuma!!me nataka wwe nd ue cnnector ili kuondoa sintofaham,we c dalali?
 
Ok,uhusiano wa mtoa hbr na iyo gar n upii?maana kajitoa kbsa as if jiran hajamtuma!!me nataka wwe nd ue cnnector ili kuondoa sintofaham,we c dalali?

Mimi nikiwa connector maana yake nitakua dalali,
Mwenye gari ni jirani yangu, aliniomba nimtangazie humu, ukipiga utaongea nae yeye na mtamalizana wenyewe!!
 
HIVI VIGARI KUMBE VINA CC NDOGO KM YA PIKIPIKI?
ngoja nitawasiliana nanyi km katafika Dodoma nikachukue kanisaidie kwenye mvua
 
Mimi nikiwa connector maana yake nitakua dalali,
Mwenye gari ni jirani yangu, aliniomba nimtangazie humu, ukipiga utaongea nae yeye na mtamalizana wenyewe!!

Sawaa lady ila ingekuwa vzr wwe ungejivisha uhuska afu ss tuchek na ww kwanz kw kujirdhsha zaidi.
 
Sawaa lady ila ingekuwa vzr wwe ungejivisha uhuska afu ss tuchek na ww kwanz kw kujirdhsha zaidi.

Mimi sio mtaalam wa magari, ndio maana sitaki kujihusisha zaidi. Wala sitaki kubeba mdhamana wa wewe au yeye. Ikitokea mkapatana ni nyinyi wenyewe. Na mkishindwana pia ni nyinyi wenyewe.

Ila gari ipo nimeiona, na leo nimeongea nae mwenyewe akasema bado ipo!!
 
Wadau kwa Mujibu wa Mwenye Gari, bado ipo!!
Kwa anaehitaji inapatikana Sinza karibu na Lion Hotel!!
 
Hivi vigari ni pressure tu, nilikuwa nacho hijet nimeuza bt kwenye biashara kila mtu na bahati yKe
 
Hivi vigari ni pressure tu, nilikuwa nacho hijet nimeuza bt kwenye biashara kila mtu na bahati yKe
Mkuu kwanza Pole sana,kwanza Tambua kwa vi Hijet haviwezi hii biashara kabisaa,na mwenye kujua nanunua Carry yenye kufaa biashara hii.Hata hizi Carry zinamatoleo ambayo ni bora zaidi kwa kazi ngum na nyingine ni Luxury.

Hii ni sawa na Pikipiki ya Boxer na SANLG,yaani zote ni pikipiki,lakini Boxer ni luxury na fuel consumption ipo chini sana,lakini kazi ngum sana haiwezi, mwezi tu unaiuwa,kama ukiipeleka milima ya mbezi kule au Pugu.
Wakati SANLG ni ni jembe kwenye kazi ngum sana,na inaweza kupiga kazi njia yoyote,na mazingira magum yoyote.Ila Fuel consumption yake pia ipo juu.
Sasa kila kitu kina mazingira yake.Hizo Hijet huku Zanzibar hata milioni tatu unapata,na hakuna anaezitaka.
Maana hata Driver ukimpa gari kwanza anauliza ni aina gani,akijua tu ni zenye usumbufu basi hachukui
 
Back
Top Bottom