nimetuma hii post kutoka kwenye simu nashindwa kuattach picha kutoka kwa iPhone bei ni7.5M not negotiable Kama mtu yupo interested aniPM nitamtumia picha kwenye email ni rahisi zaidi kwenye email au Kama kuna mwenye kujua namna ya kuatach pics kutoka kwenye iPhone kuja Jamii anijuze
Thanks