please nahitaji suzuki carry ya kununua iliyo kwenye hali nzuri bei isizidi 5M.[/9QUOTE]
Kuna mtu anauza ipo DSM ila ni 6m amegoma kushusha bei hata kidogo. Na mimi natafuta ya angalau 5.5m. Nipe email nikutumie picha za hii niliyoiona. Reg No. Ni T xxx CFB.