Suzuki carry for sale

Suzuki carry for sale

vivios

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
244
Reaction score
9
Inauzwa suzuki carry 1998.
55000 km
660cc
5gear
Manual.
7mil price ila bei inapungua.
 
Ninaweza kukupatia 4.5? Tarehe 10 june? UMEITOA LINI JAPAN, AU ULIKUWA UNAITUMIA, KWANINI UNAUZA?
 
Inauzwa suzuki carry 1998.
55000 km
660cc
5gear
Manual.
7mil price ila bei inapungua.
UZURI umesema ni ya mwaka 1998 na bei ni maelewano. hiyo 7 ningeongeza tu 3 iwe kumi nichukue ya mwaka 2010 japan leo, zipo, manual na automatic uchaguzi tu. ila manual ni bora zaidi kwa kudumu.
 
White suzuki carry for sale
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1369972430701.jpg
    uploadfromtaptalk1369972430701.jpg
    52.7 KB · Views: 221
  • uploadfromtaptalk1369972451729.jpg
    uploadfromtaptalk1369972451729.jpg
    62.9 KB · Views: 177
Mkuu mimi nahitaji sana gari ya namna hiyo ni pm tu bargain mkuu kama bado ipo
 
Imeshauzwa ila kama bajet yako nzuri naweza kukuchekia nyingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom