vivios JF-Expert Member Joined Jan 4, 2013 Posts 244 Reaction score 9 May 24, 2013 #1 Inauzwa hapa dsm ina 55,000km.ya mwaka 1998.namba cjx.kama unaitaj nipm tuongee
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,549 May 24, 2013 #2 Huwa wanaweka bei
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,379 May 24, 2013 #3 Baba V said: Huwa wanaweka bei Click to expand... Pamoja na picha
vivios JF-Expert Member Joined Jan 4, 2013 Posts 244 Reaction score 9 May 24, 2013 Thread starter #4 Bei 7m ila inapungua
washwa washwa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 1,613 Reaction score 728 May 24, 2013 #5 Mi nauza hii hapa bei 18M mazungumzo yapo Simu : 0719515295/0767515293
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,017 May 24, 2013 #6 washwa washwa said: Mi nauza hii hapa bei 18M mazungumzo yapo Simu : 0719515295/0767515293 Click to expand... We unajuwa kutangaza... Si mtu kaweka picha ya Isuzu Carry wakati kaipiga hata kushwa hakajaoshwa... watu watavutiwaje banaaa.....
washwa washwa said: Mi nauza hii hapa bei 18M mazungumzo yapo Simu : 0719515295/0767515293 Click to expand... We unajuwa kutangaza... Si mtu kaweka picha ya Isuzu Carry wakati kaipiga hata kushwa hakajaoshwa... watu watavutiwaje banaaa.....