Mil 7 mkuu
Suzuki carry inauzwa imetumika wiki 3tu.
Ya mwaka 1998.mi ndo mmiliki nauza sababu nimeshindwa kabisa kutumia manual .ilikua inatumika kwa kazi za nyumbani tu
mkuu,ulivyokuwa unaiagiza hukujua kuwa ni manual na itakusumbua??
Mkuu m.5 cash mkononi
Sikujua mana sikuwai kuendesha manual
Sikujua mana sikuwai kuendesha manual