Suzuki Carry iko mwanza,maeneo ya buhongwa town ,bei 5.8M,maongezi yapo...mwenyewe nayo ni aunt yangu anazo mbili na kijana wa kuitumia hii moja amerudi kwao so anaiuza ili isikae tu..
kila kitu kipo hai (vibali) ..kazi kwako wewe utake wahi..changamkia hili dili..!!