Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,764
- 20,903
Ahsante kwa historia hii. Niliipenda sana Movie yake. Sasa ndiyo nasoma wasifu wake alioandika Alex Haley. Niliona uchambuzi wanasema alibadilisha mengi na mengine alimshauri kabla hajafa yasiwekwe. Ni mtu wa aina yake sana.Lyc...
Nina kumbukumbu nyingi za Malcolm X kutoka udogoni na baadae mtu mzima na nilikopita.
Movie ya Malcolm X niliitazama nikiwa mji mdogo Uingereza wakati huo mimi kijana.
Kisha kwengine duniani nimekutana na kumbukumbu ya Malcolm X.
Nimefika 125th Street Harlem, New York na ninayo picha.
Hii ilikuwa mitaa yake Malcolm.
Nilipokuwa New York ndiyo biography yake mpya ilikuwa imetoka iliyoandikwa na Manning Marable, "A Life of Reinvention."
Wasifu wake wa kwanza ulioandikwa na Alex Haley, "The Autography of Malcolm X," (1965)inasemekana, Haley alibadilisha baadhi ya mambo baada ya kifo cha Malcolm X.
Malcolm X mimi alikuwa "hero," wangu na nilisoma wasifu wake ule wa Haley labda nina miaka 15.
Spike Lee katufanyia hisani kubwa kwq kutengeneza "movie,"ya Malcolm X, "Malcolm," na kumtia Dezil Washington kama Malcolm.
Kwangu mimi Malcolm X na nyakati zile zinanikumbusha mengi, muziki wa Sam Cooke, "Twist in the Night Away," Nat King Cole, "Ramblin' Rose," Cassius Clay na Sony Liston, kabla hajawa Muhammad Ali.
Hizi zilikuwa nyakati za utoto wangu nikikua Dar es Salaam nikisikiza muziki wa Chipukizi wa akina Hussein Shebe, Henin Seif, Raymond Chihota, Cuthbert Sabuni na The Blue Diamonds na alikuwapo mtu wetu wenyewe Sal Davis...miaka imeruka na ujana umetoweka kama moshi.
Katika maisha ya Malcolm X jinsi yalivyobadilika yanaendana na maisha ya wengi tulioishi miaka ile "The Roaring 60s," na kwa hili tumshukuru Allah kwa kutuongoza.
Ahsante kwa historia hii. Niliipenda sana Movie yake. Sasa ndiyo nasoma wasifu wake alioandika Alex Haley. Niliona uchambuzi wanasema alibadilisha mengi na mengine alimshauri kabla hajafa yasiwekwe. Ni mtu wa aina yake sana.
Lyc...Ahsante kwa historia hii. Niliipenda sana Movie yake. Sasa ndiyo nasoma wasifu wake alioandika Alex Haley. Niliona uchambuzi wanasema alibadilisha mengi na mengine alimshauri kabla hajafa yasiwekwe. Ni mtu wa aina yake sana.
Malcom X a muslim akazikwa kikristo kwa nini tuelezee hapa Mohamed SaidLyc...
Nina kumbukumbu nyingi za Malcolm X kutoka udogoni na baadae mtu mzima na nilikopita.
Movie ya Malcolm X niliitazama nikiwa mji mdogo Uingereza wakati huo mimi kijana.
Kisha kwengine duniani nimekutana za kumbukumbu ya Malcolm X.
Nimefika 125th Street Harlem, New York na ninayo picha.
Hii ilikuwa mitaa yake Malcolm.
Nmeuna pia ukumbi aliouliwa Malcolm X
Nilipokuwa New York ndiyo biography yake mpya ilikuwa imetoka iliyoandikwa na Manning Marable, "A Life of Reinvention."
Wasifu wake wa kwanza ulioandikwa na Alex Haley, "The Autography of Malcolm X," (1965)inasemekana, Haley alibadilisha baadhi ya mambo baada ya kifo cha Malcolm X.
Malcolm X mimi alikuwa "hero," wangu na nilisoma wasifu wake ule wa Haley labda nina miaka 15.
Spike Lee katufanyia hisani kubwa kwq kutengeneza "movie,"ya Malcolm X, "Malcolm," na kumtia Dezil Washington kama Malcolm.
Kwangu mimi Malcolm X na nyakati zile zinanikumbusha mengi, muziki wa Sam Cooke, "Twist in the Night Away," Nat King Cole, "Ramblin' Rose," Cassius Clay na Sony Liston, kabla hajawa Muhammad Ali.
Hizi zilikuwa nyakati za utoto wangu nikikua Dar es Salaam nikisikiza muziki wa Chipukizi wa akina Hussein Shebe, Henin Seif, Raymond Chihota, Cuthbert Sabuni na The Blue Diamonds na alikuwapo mtu wetu wenyewe Sal Davis...miaka imeruka na ujana umetoweka kama moshi.
Katika maisha ya Malcolm X jinsi yalivyobadilika yanaendana na maisha ya wengi tulioishi miaka ile "The Roaring 60s," na kwa hili tumshukuru Allah kwa kutuongoza.
Mdukuzi,Malcom X a muslim akazikwa kikristo kwa nini tuelezee hapa Mohamed Said
Alizikwa kwenye makaburi ya kanisa na maiti yake iliwekwa kwenye jeneza kama la wakristo na ikaagwa na umati wa watu ikiwa wazi kabisaMdukuzi,
Sina taarifa hiyo.
Hebu nifahamishe.
Alizikwa kwenye makaburi ya kanisa na maiti yake iliwekwa kwenye jeneza kama la wakristo na ikaagwa na umati wa watu ikiwa wazi kabisa
Mdukuzi,Alizikwa kwenye makaburi ya kanisa na maiti yake iliwekwa kwenye jeneza kama la wakristo na ikaagwa na umati wa watu ikiwa wazi kabisa
Kumbe lakini ile kuagwa na halaiki katika open cofin ikoje hiyo katika orthodox muslimMdukuzi,
Swali lako nitalijibu kwa kirefu kidogo.
Kuna mambo katika maisha yangu hata mimi hunistaajabisha jinsi Allah alivyoweza alcolmkuniunganisha na watu na nchi ambazo mimi nitakuja baadae kuwafunza wengine.
Naamini unesoma jinsi mimi katika utoto wangu nilivyokuwa ''connected' na Malcolm X na Muhammad Ali na nikafika sehemu ambazo watu hawa walipotengezeza historia zao mimi sasa nikiwa mtu mzima.
Malcom X unaweza kusema fikra na mtazamo wake kuhusu suala la rangi na ubaguzi zilibadilika baada ya kukutana na Msudani mmoja ina lake Ahmed Osman.
Huyu ndiye aliyemfahamisha Malcolm X kuwa Uislam hauruhusu ubaguzi wa iana yeyote na yeye kuwaita Wmarekani Weupe mashetani si sawa.
Kisa kirefu.
Huu ndiyo ukawa mwanzo wa urafiki wa Malcolm X na Osman.
Malcolm X kupitia Osman aliweza kwenda hadi Sudan na akazungumza University of Khartoum na akafika hadi Omdurman.
Safari hii ilimfungua macho Malcolm kuwaona Waislam kwa karibu.
Nimebahatika kufika University of Khartoum na Omdurman ambao ni mji karibu sana na Khartoum.
Sijapat akuona duniani kokote miji mikubwa miwili iliyo karibu kwa kiasi hicho.
Mfano Moshi na Arusha iwe ilipo Kiborloni kwa wanaoijua miji hii miwili.
Baada ya safari hii ya Sudan na baada ya Malcolm X kujitoka katika Natioin of Islam Malcom akatoa shahada na kuwa Orthodox Muslim yaani huu Uislam wa kweli si Black Muslim.
Malcolm akaenda Hijja na huko ndiko imani yake ilipokaa sawasawa.
Maziko yake yaligubikwa na kampeni chafu ya kuzuia watu maarufu kuhudhuria.
Kama usemavyo pale Harlem Malcolm anaonekana katika sanduku na watu wakimuaga.
Kitu ambacho hakikuonyeshwa ni kuwa baada ya pale maiti yake ilitolewa katika sanduku na akazikwa kwa taratibu za Kiislam.
Kaburi lilichimbwa na Waislam na sala ya jeneza ikafanyika kama sheria inavyoelekeza.
Aliyeongoza haya yote alikuwa Ahmed Osman.
Mdukuzi,Kumbe lakini ile kuagwa na halaiki katika open cofin ikoje hiyo katika orthodox muslim
Hoja yangu iko hapo ilikuwaje akaoneshwaMdukuzi,
Haitakiwi maiti kuonyeshwa.
Maiti inatakiwa iwe ndani ya sanda.
Mdukuzi,Hoja yangu iko hapo ilikuwaje akaoneshwa