Huyu amejulikana kwa sababu Britain wanamtafutaHii sura kama nilishawahi kutananayo Masai Camp vile! mmhh lazima ni huyu
Jamani hakuna counter terrorist unit akina jack bour na tony almeida wafanye kazi zao kumtafuta huyu mtu kwa 24hrs!
Kama ana pesa, basi hakuna matata..!!! Ugaidi atakuwa amesingiziwa tu.
Tusaidia serikali kumfichua huyu mtu hatari kwa wenye taarifa wapeleke polisi au tulete hapa kwa hatua za usalama
Tushirikiane na vyombo vya ulinzi na usalama kumsaka kabla hajaleta madhara nchini kwetu.