Viwanja vilivyopimwa vinauzwa eneo la Bagamoyo Kitopeni block H, Barabara ya Bagamoyo, km mbili kutoka Bagamoyo mjini, vina ukubwa wa meta za eneo 1000 yaani 40 x 25. Kampuni inayosimamia mauzo itakusaidia kufuatilia suala la hati. piga simu namba hii. 0712 003 661.
Wauzaji ni NSAMY REAL ESTATE AND GENERAL SUPPLIERS LTD wakishirikiana na KWETU ARDHI CO. Ltd.