Surveyed Plot for Sale Mbutu, Kigamboni

Lady Ra

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
879
991
Habarini,

Nimeombwa nilete tangazo la Kiwanja kilichoko Mbutu, Kigamboni
Ukubwa ni Sqm 649,
Unaenda mpaka ghorofa za Dege Eco Village kisha unaingia Kushoto Kuelekea upande wa Baharini,
Kiwanja kimepimwa (surveyed),

Bei ya Kiwanja ni Sqm 649 x Tshs 12,000= 7,788,000 na mazungumzo yapo.
Contacts za Mwenye Kiwanja 0684 477 150
Nimewasilisha!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom