Mie mwenzenu nazipenda sana surprise, Na huwa ananifanyia na naenjoy sana akinifanyia surprise. Ila mwanzoni nilikuwa naona kama ananiwinda baadae nikagundua ananipenda sana na anawivu na mimi so sioni mbaya kwa hili. Jana tu kanifanyia surprize walahi nilishituka ila nilifurahi.