surface 2 inakuja Microsoft wametangaza

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
haya tena wapenzi wa teknolojia mpya microsoft wametangaza surface 2 inatoka jumatatu ijayo, itakuwa na 10.6-inch 1080p screen, details zaidi zinakuja, pia mnaweza ongezea

 
jumatatu imefika kaka, imetoka leo na bei mkasi vile vile ya win 8 ndo around 900 usd na ya winrt ndo 450usd
 
hawako series.

wapo serious sema hazijatengenezwa kwa watu wa chini

surface pro 2 ni kali vibaya mno
procesor ni intel i5
ram 8 gb
kioo inch 10 full hd 1920x1080
usb 3.0
full windows 8.1
surface ya mwaka jana ilikua inawaka kwa sekunde 6 tu ya mwaka huu ni 20% faster huenda ikawaka ndani ya sekunde 5 tu.

sasa imagine power yote hiyo ndani ya tablet ya inch 10 tu, kuna apps mln 5 za window jumlisha mln 1 za android una lundo la vitu vya kufanya
 

Kaka sijakuelewa hapa. Umesema kuna Apps Mil 5 za Window na Mil 1 za Android... Sasa Android anahusika vipi na Surface? Kwani inatumia platform mbili?
 
Kaka sijakuelewa hapa. Umesema kuna Apps Mil 5 za Window na Mil 1 za Android... Sasa Android anahusika vipi na Surface? Kwani inatumia platform mbili?

bluestack wana app special kwa ajili ya surface una emulate app na games zote za android

ila ni surface pro na sio rt
 
hapo sawa hawajatengenezwa kwa watu wa chini coz waafrika huwa tunaangalia sana os na version ngapi unless otherwise iwe na very unique features kama vile s4 n.k??? maana kutoa milioni kwa ajili ya tablet tu wakati most of the thing unaweza kupata katika tab nyingine...sio kitu kidogo hasa kwa sisi masikini..
 

kaka ni computer power kwenye tablet yako si kweli most feature unapata kwenye tab nyengine
1. inaflash simu na tab wenzie pamoja na ku update maana soft kama pc suite na kiea zinaingia humu

2. i5 na ram ya 8gb utaedit picha na video so ni kwa ajili ya profeasional

3. ipo compatible na printer zote na ina full Microsoft office

4. ina kalamu na touch screen plus software kama adobe illustrator wachoraji wanatumia

5. humu ni full games kama pc nyengine fifa 14 na call of duty sio vikatuni vya ios na android
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…