Sura vs pesa.

Kila alichoumba Mungu ni Chema sana
kasome Kitabu Kitakatifu cha Mwanzo


Sasa huyo Dada ubaya wake wewe unaonaje
wakati Mungu kaona ni mzuri !
 
Kennedy nami nashndwa kumwelewa jamaa, cjui anadiscribe uzuri na ubaya ktk category ipi.
 
Last edited by a moderator:
 
Yaani eti xaxa ,xcul mi najibugi tu andika kwa ufasaha
ili ueleweke!!!!!!

Siku zote niliamini haya maneno yanaandikwa vibaya ili kujarib kuyafupisha, lkn cha ajb najiuliza hivi ukiandika "xaxa" badala ya "sasa" ina maana yoyote? huu nao ni ulimbukeni
 
Naomba kuongezea kwa ma beloved lara 1,mapenzi sio pesa anaweza akajitutumua akakimbilia kwa huyo mwenye sura mbaya halafu akaja kutamani kulia kila iitwapo asubuhi huko mbele ya safari,manake atakuwa kila akienda kuswaki na kujiangalia kwenye kioo cha cha kuswakia hapo karibu na jacuzzi hataamini kama ni yeye ndo katoka kulala na mwanamke aliyemuacha kitandani,na atataka arewind maisha na kukuta maisha hayawezi kurewindiwa kama video tapes
 
Siku zote niliamini haya maneno yanaandikwa vibaya ili kujarib kuyafupisha, lkn cha ajb najiuliza hivi ukiandika "xaxa" badala ya "sasa" ina maana yoyote? huu nao ni ulimbukeni
Zorrander kwa kweli ni ulimbukeni tu
 
Last edited by a moderator:

Mwenzio kesha sema anasura mbaya huyo mwenye pesa zake kiasi kwamba anashindwa atamtambulisha vipi kwa wazazi, kwa nini unataka kumng'ang'aniza aoe msichana ambaye hampendi kwa kigezo cha pesa zake wakati moyoni hayuko naye?
 
Huyo rafiki yako bure kabisa.

Amemaliza chuo hajui wa kuchagu?sasa hiyo mitihani ya chuo alipitaje?

Vigezo vya sura na muonekano kwa ujumla vilikuwa zamani...siku hizi ni yupi mnapendana kweli na yuko tayari kuwa nawe kwa hali zote.
 

BONGE LA TUSI......Dume Dada.>.......Daah, Bora me niliyejiingiza ktk kitengo cha kuthubutu
 
Hayuko tayari kuwa na yeyote kati yao!
Af sijui ni chuo gani mmemaliza; labda cha computer!! Vile tunavyoona wanavitangaza wale jamaa wa comedy kwenye TV!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…