Bull, hebu weka sawa hapa:Nilishasema hapa kuwa, Wazungu wengi nimabaguzi na ziko Hate speech nyingi walizitumia against black people
Kinachonishangaza, hawa hate preachers wakizungu bado wanaruhusiwa kutembea kila kona za dunia pamoja na Afrika, hawapati upinzani wala matatizo kama yanayo mkuta Sheikh Faisal nchini Kenya, eti kwasababu tu alikuwa convict kwa ku-preach hatred aginst jewish.
Swali langu: kulikono waafrika? mbona hizi hate speach zilizosemwa na wazungu hawafungwi na wale wanaofungwa mbona bado wanendelea kutembea duniani bila mizengwe?
Nilishasema hapa kuwa, Wazungu wengi nimabaguzi na ziko Hate speech nyingi walizitumia against black people
Kinachonishangaza, hawa hate preachers wakizungu bado wanaruhusiwa kutembea kila kona za dunia pamoja na Afrika, hawapati upinzani wala matatizo kama yanayo mkuta Sheikh Faisal nchini Kenya, eti kwasababu tu alikuwa convict kwa ku-preach hatred aginst jewish.
Swali langu: kulikono waafrika? mbona hizi hate speach zilizosemwa na wazungu hawafungwi na wale wanaofungwa mbona bado wanendelea kutembea duniani bila mizengwe?
Bull, hebu weka sawa hapa:
Umemtaja Sheikh Faisal kama mfano wa victim wa hate-preaching, je una mfano wa wazungu wanaopreach hate na wanaachiwa kutembea konazote za dunia?
Ukiweka sawa hapo itakuwa mwanzo mzuri Mkuu!..
Heshima as usual.
Wako wengi tu na Botha ni mafno moja wapo, sijui wewe umejifunza nini kwenye hiyo article uliyo iweka! nevermind, mfano ni vyama na watu wafuatao:
1- Nick Griffin, British National Party (BNP)
2-The Ku Klux Klan
3-Far-right MP Geert Wilders
4-Don Black, skinheads.
5-Hugh Owens, an evangelical Christian in Canada
6-Pastor Åke Green, Sweden
Hawa wote wanatembea Europe, Ameria nk, bila mzengwe na wako wengi wengine sijawataja niseje nikawachosha wasomaji
Sio busara ukachanganya mambo, huyo Sheik unayemtaja hapa hahusiani na hii mada hata kidogo, ni vema ukawa unatofautisha mambo,kama ni hivyo ungewatetea na waafrica wenzetu wanaouwawa bila kosa na waarabu kule Darfur, Tusikumbatie dini na wala dini isitumike kama silaha kumduru binadamu mwezako.
Kwa Mzee Mandela naamini anaroho ya kama malaika kwani naamini kwa kuhamua kusamehe na kujenga maridiano na hao wazungu wachache wa SA aliweza kurejesha hali ya utulivu, Na ikumbukwe wazung siku zote kiburi chao cha ubaguzi kinasababishwa na hatua kubwa ya maendeleo waliyoipiga pamoja na demokrasia yao, kushindwa kwetu kuendelea na kuendekeza mambo yasiyokuwa ya msingi kama vita, rushwa, uzembe, uvivu, kuendekeza misaada ndo tuonaonekana wajinga mbele za hawa ndugu
Nadhani wewe umeshindwa kuielewa hii mada, mukhtasari mada ni Hate speach alyo itoa Botha, na Sheikh Saisal kashtakiwa kwa kosa la Hate speach, only brainwashed people ndo wanaoleta hoja hapa kuwa huu sheikh ni terrorist, Nooo!! ni hate speach ndio makosa yake
Faisali ni Mwafrika niko na haki ya kumtetea, nashangazwa na nchi za afrika kutowatetea watu wa asili yake
Hoja yangu; kama hate speach zilitolewa na wanzungu wengi na bado wanatembea bila mizengwe na BOTHA sio tu ali-preach hatred balipia aliwauwa waafrika wengi kwa chuki na ubaguzi wake!! Mandela kafanya nini???
Hiyo mifano yote uliyotoa hapo juu ni marudio ya threads zako nyiiingi unazobandika hapa ukilalama juu ya unachokiita ubaguzi!...Lakini, katika mfano wa Botha niliotoa, wahusika wenyewe(via kiongozi wao) waliamua kufuta hizo differencies unconditionally!
Kwa nini umeleta hii mada kama unconditionally wamekubaliana?
Kwa mfano wako wa huyo sheikh Faisal uliotoa, huyu bwana hata Waislamu wenyewe wanamchukia, maana anasababisha unrest katika jamii, imagine Nigeria kwenyewe alitimuliwa, what do you expect?!
Uwezi kupendwa na wote, uliyaona maandamano yaliyofanya na waislam wa Kenya? bado anpendwa na waislam wengi africa, Europe na Amerika
Madai ya mtu kama Faisal ni kuisilimisha dunia na kuiwekea sharia, kitu ambacho hakikubaliki na walio na uelewa wa kawaida!
Ni haki yake ya democrasia kusilimisha hata kubatiza na kuleta sheria duniani provide ikiwa kwa njia ya amani. kwani ni watu wengi wanaajenda zao.
By the way, nia ya thread hii si kuongelea hatred dhid ya dini...ni kuangalia degree ya utu ndani ya baadhi ya watu..lets meet there!
Simtetei sheikh Faisali kwa kuwa ni muislam, no!!. bali ni haki za kibinadamu regardless his religion belive. niko tayari kumtetea yoyote bila kujali dini, rangi, kabila wala jinsia.
Ndugu kinachoangaliwa hapa sio hicho wewe unayekihubiri hapa, nadhani mtoa mada lengo lake tujadili the degree of forgiveness among human being. Wauliza Mzee mandela kafanya nini,,,, alipoingia ofisini kama Raisi wa kwanza mwafrika alitafuta maridhiano kwa kuwasamehe BOTHA na wenzake na sio kwamba alishindwa kuwanyonga ila alihimiza kusameheana na kuanza kujenga taifa lao kwa pamoja,,,, Na hakupenda jino kwa jino UPO HAPO?????
Mbona hujawahi watetea Wenzetu wa DARFUR? uliyoandika hapo juu danganya toto
Faisal anahubiri si chuki tu, bali anahubiri mauaji. Anachagiza watu wa upande wake kuangamiza hao anaowaita makafiri, tena kuwaua kwa njia yoyote mahali popote walipo. Huyu ni hatari sana. Maana amejivisha ughaidi. Huyu yuko tayari kuvaa mabomu na kuangamiza watu. Lazima aogopwe na kukwepwa. Ndiyo maana kila mahali wanamkataa. Si kwamba wanasema asisafiri, ila nchi mbalimbali hazimtaki kwa vle ni mtu hatari. Kwa hiy kama hawamtaki wenyeji hawezi kulazimisha. Anahatarisha maisha ya kila mtu.Umeshindwa kuiangalia mada kiundani zaidi ya ku-pick some points na kukurupuka,
sikusema Botha anyongwe kemwe, nilicho compare katika article hii ni Hate Speach crime, Awko waliofungwa na wengine wako free na bado wanaendelea kusafiri bila bughdha, kwanini Faisali wakati ameshamaliza kifungo kwa makosa kama ya Botha (BOTHA kauwa) nawengine, asiachiwe aendelee na safari zake?
Nimetoa majina ya watu na vyama vinvyo preach hatred, wako waliofungwa na wengine bado wako free, na wote hao bado wanatembea nchi za Amerika na Europe bila matatizo!! Why Faisal??
Tusipeleke hii mada kwenye dini hata kama nimtteae nimtu wa dini fulani. ninacho angalia ni justice for all. Kabla hujajibu, please tafakari wtithin the line
Sikuzote na laani American wanao chohcea Viti afrika na sehemu nyingine, mauwaji wanayofanyika popte duniani bila kujali dini ya mtu, na unyanyasaji anaofanyiwa mtu mweusi popote duniani.
Faisal anahubiri si chuki tu, bali anahubiri mauaji. Anachagiza watu wa upande wake kuangamiza hao anaowaita makafiri, tena kuwaua kwa njia yoyote mahali popote walipo. Huyu ni hatari sana. Maana amejivisha ughaidi. Huyu yuko tayari kuvaa mabomu na kuangamiza watu. Lazima aogopwe na kukwepwa. Ndiyo maana kila mahali wanamkataa. Si kwamba wanasema asisafiri, ila nchi mbalimbali hazimtaki kwa vle ni mtu hatari. Kwa hiy kama hawamtaki wenyeji hawezi kulazimisha. Anahatarisha maisha ya kila mtu.
Umeshindwa kuiangalia mada kiundani zaidi ya ku-pick some points na kukurupuka,
sikusema Botha anyongwe kemwe, nilicho compare katika article hii ni Hate Speach crime, Awko waliofungwa na wengine wako free na bado wanaendelea kusafiri bila bughdha, kwanini Faisali wakati ameshamaliza kifungo kwa makosa kama ya Botha (BOTHA kauwa) nawengine, asiachiwe aendelee na safari zake?
Nimetoa majina ya watu na vyama vinvyo preach hatred, wako waliofungwa na wengine bado wako free, na wote hao bado wanatembea nchi za Amerika na Europe bila matatizo!! Why Faisal??
Tusipeleke hii mada kwenye dini hata kama nimtteae nimtu wa dini fulani. ninacho angalia ni justice for all. Kabla hujajibu, please tafakari wtithin the line
Ngugu sasa hapa America imekujaje tena, US ndo inachochea mauwaji huko Darfur??? Ushauri wa bure kabisaa wakati wakujaduíli haya mambo jaribu kuwa neutral then ndo utoe dukuduku lako,
Ndugu tafakari kwanza?
inaelekea hujamuelewa MTOA MADA hata kidogo,kinachojadiliwa hapa ni degree of forgiveness kama aliyoionyesha Mzee Mandela,, Umeshawahi msikia hata siku moja BORTHA AKITOA tena maneno ya uchochezi baada ya total independence of South Africa??? hususani baada ya tume ya askofu Tutu kumaliza kazi yake???
Tutarudi kwenye mada ya forgivenes, na tuliwasamehe hate prechers na wauwaji wengi tu.
Botha alisamehewa chuki na mauwaji yake yote sio? na hajarudia tena kuuwa wala kusema maneno machafu
Faisal amesha save sentence sio? na bado hajarudia maneno yake machafu tokea afungwe, kwanini wakenya wazidi kumnyanyasa? kama si ujinga wa kujikomba kwa wazungu iliwaonekane wako tafu? We need Justice for every one !
Jiulize kwanza mbali na kuteswa, kuuwawa ni kwanini wa south africa hawakuwashtaki wazungu na kuwauwa badala yake walihamua kuunda tume ya maridhiano???? Huyo sheik wako unayemtetea kwa taarifa yaku hujui waislam wenyewe Jamaica walimpiga marukufu kuhuriri kwenye misiki yao? na unakijua kilichomleta huku africa ninini??
Huwezi kupendwa na kila mtu, hata Mandela walimueka kwenye terro list, tuliendelea kumtetea mwishowe wakamuweka kwenye hero list, na nchi nyingi kama kenya na ata UK watu waislam na wasio waislam walimtetea! Hoja hapa sio dini bali ni haki za kibinadamu
Mbona unakuwa mgumu kuelewa na kuchambua mambo???
Nadhani bado unahitaji kujifunza mambo mengi sana!!! Hizi article chini nadhani zitakusaidia, just click
http://www.sudantribune.com/spip.php?article23023
http://www.isreview.org/issues/50/darfur.shtml