EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,712
Sio wotevijana wa Tz mnaendekeza sana UNOOOO
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaongezaga mambo yenu yaleeekuna tule tubagia twa kunde plus calamari
ooh Lord....
ni nini ina utamu kama ule
Ha ha haa lol wewe dada nimekupenda gafla kwa komenti yako hii.kuna tule tubagia twa kunde plus calamari
ooh Lord....
ni nini ina utamu kama ule
sijui kwa kweli nafurahisha ulimi tu kwa ladha maridhawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaongezaga mambo yenu yaleee
asante jamanHa ha haa lol wewe dada nimekupenda gafla kwa komenti yako hii.
[emoji41] hapa hapana aisee situmiagiEnergy drink nazo zomepata soko balaa
[emoji849][emoji849]N'nacho-mpendea pweza bwanaa wewe hana miiba ana vipele vipele tuu n'gongoni,.oh yeah[emoji39][emoji39]
[emoji35][emoji35][emoji35] wanatuchosha saana sometimeshuwezi shindana na ulikotoka mkuu, mara nyingi wanatupa ushindi wa mezani tu bt wakikamia hata kama hajatumia chochote huwez mshinda
Pweza hana maajabu yoyote ni viagraWametoka kuwachanganyia kwenye supu ya mbuzi na ng'ombe; sasa wanazichanganyia kwenye supu ya pweza!
Kiumbe aishiye majinihivi pweza ni samaki?