Supply ya wanyama na nyama

Supply ya wanyama na nyama

The Alab

Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
9
Reaction score
2
Habari wanaJF,

Me nipo chuo mwaka wa 1 ila nimeanzisha mradi wa ufugaji Nguruwe na pia natarajia kuanza na kuku, bata, mbuzi, kondoo kwa ajili ya kufanya supply yangu kwenye mahotel na migahawa mbalimbali.

Naomba trend ya soko kwa anayefahamu ili nijipange vizuri..

Asante.
 
habari wana Jf me nipo chuo mwaka wa1 ila nmeanzisha mradi wa ufugaji nguruwe na pia natarajia kuanza na kuku bata mbuz kondoo kwa ajili ya kufanya supply yangu kwenye mahotel na migahawa mbalimbali ila naomba trend ya soko kwa anayefahamu ili nijipange vizuri asante
nipigie simu 0714064767 nikupe soko la wanyama hapa Dar kama upo serious
 
kwa soko la zanzibar inakaaje bro naweza pata more info plz
 
habari wana Jf me nipo chuo mwaka wa1 ila nmeanzisha mradi wa ufugaji nguruwe na pia natarajia kuanza na kuku bata mbuz kondoo kwa ajili ya kufanya supply yangu kwenye mahotel na migahawa mbalimbali ila naomba trend ya soko kwa anayefahamu ili nijipange vizuri asante
umefikia wapi katika ufugaji wako mkuu? una nguruwe wangapi hivi sasa? na vipi kuhusu soko?
 
Back
Top Bottom