B bennyb Member Joined May 8, 2014 Posts 31 Reaction score 4 Aug 5, 2014 #1 Aiseee wadau wenzangu mm natafuta jobs za supermarket
S svoca JF-Expert Member Joined Jun 6, 2014 Posts 373 Reaction score 70 Aug 5, 2014 #2 utapata tulia ila kutafuta phisically hao watu wanafanyia huko itakusaidia zaidi.
Pritty wa joseph JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 2,379 Reaction score 2,051 Aug 5, 2014 #3 Game supermarkrt wametoa vacancy
B bennyb Member Joined May 8, 2014 Posts 31 Reaction score 4 Aug 5, 2014 Thread starter #4 Pritty wa joseph said: Game supermarkrt wametoa vacancy Click to expand... Ipo sehemu gani hiyo game
Igunga Moja Senior Member Joined Aug 5, 2014 Posts 182 Reaction score 23 Aug 6, 2014 #6 Game ipo mliman city.pia kuna supamakey ya wakenya.inaitwa.nakumat ni mpya ipo mcity
Peter Madukwa JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 3,140 Reaction score 2,499 Aug 6, 2014 #7 amina mabata said: Game ipo mliman city.pia kuna supamakey ya wakenya.inaitwa.nakumat ni mpya ipo mcity Click to expand... Hiv wanalipa sh ngapi
amina mabata said: Game ipo mliman city.pia kuna supamakey ya wakenya.inaitwa.nakumat ni mpya ipo mcity Click to expand... Hiv wanalipa sh ngapi
Igunga Moja Senior Member Joined Aug 5, 2014 Posts 182 Reaction score 23 Aug 6, 2014 #8 Mshahara mdogo lakimbili na nusu
Igunga Moja Senior Member Joined Aug 5, 2014 Posts 182 Reaction score 23 Aug 6, 2014 #9 Ila tipu ni nyingi kwa ck hata elfu20 hiv..zile sh.30 na sh15wanazoacha wateja..ukifunga hesabu yako jion aaah hela ya kula umepata
Ila tipu ni nyingi kwa ck hata elfu20 hiv..zile sh.30 na sh15wanazoacha wateja..ukifunga hesabu yako jion aaah hela ya kula umepata
Z zainabyon Member Joined Jul 30, 2014 Posts 25 Reaction score 5 Aug 6, 2014 #11 sasa una apply au inakuwaje wakubwa
Tugutuke JF-Expert Member Joined Apr 21, 2011 Posts 501 Reaction score 168 Aug 6, 2014 #12 amina mabata said: Ila tipu ni nyingi kwa ck hata elfu20 hiv..zile sh.30 na sh15wanazoacha wateja..ukifunga hesabu yako jion aaah hela ya kula umepata Click to expand... Niunganishe na mtu wa huko
amina mabata said: Ila tipu ni nyingi kwa ck hata elfu20 hiv..zile sh.30 na sh15wanazoacha wateja..ukifunga hesabu yako jion aaah hela ya kula umepata Click to expand... Niunganishe na mtu wa huko