Hivi ni baadhi ya vyakula na vinywaji vinavyopatikana kwenye maduka makubwa(supermarkets) za Kichina. Mojawapo ya maduka haya maarufu ni Walmart. Je, ni chakula au kinywaji gani ungependa kukitumia kati ya hivi hapa?
Mnataka kutuiga sisi wa full tank tunapa wapi? wakati huna uwezo wa kununua mboga ya milioni moja tu? thats why mnatetemeka hadi mnaishiwa nguvu. Katerero ni kwetu tu, sisiambao majina yetu hayatokei kwenye kwenye machupa ya Coca Cola, ila yanatokea kwenye Heineken