Sunzua / Warts

M

mzurisana

Senior Member
Joined
Jun 23, 2011
Messages
133
Likes
0
Points
0
M

mzurisana

Senior Member
Joined Jun 23, 2011
133 0 0
naomba msaada wa mtu yeyote anaejua dawa ya warts au sunzua, vinaota sehemu za siri kama vinyama vinanisumbua na vinazidi kuongezeka kila cku, mpk sasa nimegoogle nimekuta matumizi ya apple cider vinegar, raw garlic, na onion na chumvi ila mpk sasa bado havijaisha, na hospital nilionana na gynecologist akaniandikia dawa fulani unapaka then unaosha ila inaniunguza sana na kunichubua wala haiponyeshi , naomba msaada mwenzenu nitumie dawa gani tena au nini , mpk sasa naendelea kupakaa castor oil ambayo bado matumaini ya kuponyesha hayapo (vimedumu zaidi ya miezi miwili)
 
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,237
Likes
85
Points
135
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,237 85 135
naomba msaada wa mtu yeyote anaejua dawa ya warts au sunzua, vinaota sehemu za siri kama vinyama vinanisumbua na vinazidi kuongezeka kila cku, mpk sasa nimegoogle nimekuta matumizi ya apple cider vinegar, raw garlic, na onion na chumvi ila mpk sasa bado havijaisha, na hospital nilionana na gynecologist akaniandikia dawa fulani unapaka then unaosha ila inaniunguza sana na kunichubua wala haiponyeshi , naomba msaada mwenzenu nitumie dawa gani tena au nini , mpk sasa naendelea kupakaa castor oil ambayo bado matumaini ya kuponyesha hayapo (vimedumu zaidi ya miezi miwili)
Tembelea: Utangulizi | maajabu ya maji
 
F

frankmshamimana

Member
Joined
Feb 4, 2011
Messages
35
Likes
0
Points
13
F

frankmshamimana

Member
Joined Feb 4, 2011
35 0 13
Kuna dawa inaitwa either Zinc Pensil or Sulfur Pensil, samahani ckumbuki vizuri. Ila nilishawahi kuitunia binafsi. Unaichovya kwenye maji then unapaka sehemu yenye kisunzua, utahisi kama unaungua and after that unapata kama doa jeusi. Baada ya masaa kadhaaa au suku, inabanduka na hapo inakuwa mwisho wake. Kila la kheri. You can PM me kwa msaada zaidi.
 
M

mzurisana

Senior Member
Joined
Jun 23, 2011
Messages
133
Likes
0
Points
0
M

mzurisana

Senior Member
Joined Jun 23, 2011
133 0 0
Kuna dawa inaitwa either Zinc Pensil or Sulfur Pensil, samahani ckumbuki vizuri. Ila nilishawahi kuitunia binafsi. Unaichovya kwenye maji then unapaka sehemu yenye kisunzua, utahisi kama unaungua and after that unapata kama doa jeusi. Baada ya masaa kadhaaa au suku, inabanduka na hapo inakuwa mwisho wake. Kila la kheri. You can PM me kwa msaada zaidi.
ok poa kaka thanx kwa ushauri wako nitakupm pia
 
Kwetu Iringa

Kwetu Iringa

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
359
Likes
15
Points
0
Age
30
Kwetu Iringa

Kwetu Iringa

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
359 15 0
Hizo warts zimeota sehemu gani ya mwili? Dawa ziko nyingi, baadhi ni:
  • Podophyllotoxin
  • Podophyllin
  • Trichloroacetic acid, na
  • silver nitrate
Pia zinaweza kukatwa surgically au kuunguzwa na kitu baridi sana. Hizo dawa zilizotajwa juu ni za kupaka na zinaunguza. Kwa hiyo inabidi zipakwe kwenye warts tu, siyo sehemu ambazo hazina warts. Inabid uzitumie baada ya maelezo ya kina kutoka kwa daktari wako, hasa daktari bingwa wa magonjwa ya zinaa.

Je ni mja mzito? Kama ndiyo, kuna uwezekano mkubwa zikapotea bila matibabu baada ya kujifungua.

good luck!!
 
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2008
Messages
8,380
Likes
2,859
Points
280
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2008
8,380 2,859 280
.... Inabid uzitumie baada ya maelezo ya kina kutoka kwa daktari wako, hasa daktari bingwa wa magonjwa ya zinaa.
Mimi nilidhani sunzua/chunjua ni ugonjwa wa ngozi zaidi kuliko ugonjwa wa zinaa?

Niliwahi kupata sometimes back sehemu ya goti (nadhani nilikuwa about 10yrs old), nakumbuka kwa maeneo niliyokuwa naishi dawa ilikuwa ni kupaka utomvu wa mti fulani hivi (bahati mbaya siukumbuki jina)...nilipaka na ikaisha.
 
M

mzurisana

Senior Member
Joined
Jun 23, 2011
Messages
133
Likes
0
Points
0
M

mzurisana

Senior Member
Joined Jun 23, 2011
133 0 0
Hizo warts zimeota sehemu gani ya mwili? Dawa ziko nyingi, baadhi ni:
  • Podophyllotoxin
  • Podophyllin
  • Trichloroacetic acid, na
  • silver nitrate
Pia zinaweza kukatwa surgically au kuunguzwa na kitu baridi sana. Hizo dawa zilizotajwa juu ni za kupaka na zinaunguza. Kwa hiyo inabidi zipakwe kwenye warts tu, siyo sehemu ambazo hazina warts. Inabid uzitumie baada ya maelezo ya kina kutoka kwa daktari wako, hasa daktari bingwa wa magonjwa ya zinaa.

Je ni mja mzito? Kama ndiyo, kuna uwezekano mkubwa zikapotea bila matibabu baada ya kujifungua.

good luck!!
hiyo dawa ndio ambayo nimeitumia nilivyoenda hospital, inaunguza sana na inanichubua ila hakuna dalili za kupona wala kupungua, hapana sio mjamzito, afu zimeota sehemu za siri karibu na ukeni
 
M

mzurisana

Senior Member
Joined
Jun 23, 2011
Messages
133
Likes
0
Points
0
M

mzurisana

Senior Member
Joined Jun 23, 2011
133 0 0
Mimi nilidhani sunzua/chunjua ni ugonjwa wa ngozi zaidi kuliko ugonjwa wa zinaa?

Niliwahi kupata sometimes back sehemu ya goti (nadhani nilikuwa about 10yrs old), nakumbuka kwa maeneo niliyokuwa naishi dawa ilikuwa ni kupaka utomvu wa mti fulani hivi (bahati mbaya siukumbuki jina)...nilipaka na ikaisha.[/QUOT
ulivipata zamani sana so sio rahic kuikumbuka hiyo dawa ya utomvu, me binanitesa sana nakosa amani kabisa, na nashindwa pia kuelewa km ni ugonjwa wa zinaa au wa ngozi ingawa vimenipata sehemu za siri
 
Kwetu Iringa

Kwetu Iringa

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
359
Likes
15
Points
0
Age
30
Kwetu Iringa

Kwetu Iringa

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
359 15 0
Sunzua zinazoota kwenye sehemu za siri ni za zinaa, zinaitwa genital warts. Zinazoota sehemu nyingine za mwili siyo za zinaa, zinaitwa common warts. Mwoonekano wa hizi aina mbili za sunzua ni tofauti
 
M

mzurisana

Senior Member
Joined
Jun 23, 2011
Messages
133
Likes
0
Points
0
M

mzurisana

Senior Member
Joined Jun 23, 2011
133 0 0
Inamaana na matibabu ya hiz warts yanatofautiana?
 
kapotolo

kapotolo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2010
Messages
3,729
Likes
98
Points
145
kapotolo

kapotolo

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2010
3,729 98 145
naomba msaada wa mtu yeyote anaejua dawa ya warts au sunzua, vinaota sehemu za siri kama vinyama vinanisumbua na vinazidi kuongezeka kila cku, mpk sasa nimegoogle nimekuta matumizi ya apple cider vinegar, raw garlic, na onion na chumvi ila mpk sasa bado havijaisha, na hospital nilionana na gynecologist akaniandikia dawa fulani unapaka then unaosha ila inaniunguza sana na kunichubua wala haiponyeshi , naomba msaada mwenzenu nitumie dawa gani tena au nini , mpk sasa naendelea kupakaa castor oil ambayo bado matumaini ya kuponyesha hayapo (vimedumu zaidi ya miezi miwili)
Pole mzurisana, hawa sunzua wanataka wakufanye mbayasana (joke).

Genital Warts au kwa jina jingine condylomata accuminata ni ugonjwa unaosababishwa na virusi aina ya human papilloma virus (HPV) ambayo huenezwa kwa njia ya kujamiiana, na asilimia mpaka 90 ya uambukizo ni wa virusi wa papilloma types 6 na 11. Kuna aina nyingine pia ya virusi hawa ambao husababisha kansa ya shingo ya kizazi (cervical cancer).

Kama umetumia podophylin na hujapata nafuu, au kama hizo warts ni nyingi sana unachotakiwa sasa ni kwenda hospitali na kutibiwa kwa kukwata hivyo vinyama. Cauterization ni njia inayotumika katika ukataji wa hivyo vinyama. kwa njia hii najua utapona.

Siku hizi kuna chanjo ya hivyo virusi ambapo kama mtu hajavipata chanjo hiyo itamkinga na maambukizi ya hivyo virusi, chanjo hiyo inaitwa gardasil ambayo inakinga aina nne ya virusi vya HPV. Gharama yake ni kama 60 elfu kwa dose na unahitaji dose tatu kupata kinga ya miaka mitatu. Kinga hii haiwasidii wale ambao wamepata uambukizo tayari. Nenda Muhimbili kama uko Dar es salaam utapata tiba ya hao sunzua.
 
nipo mwanza, leo nimeapply caustic pencil, inamaana haitanisaidia as inatibu common warts peke yake? Na hy cauterization ni tiba inayotumia muda gan? Maumivu? Podolyfin inanichubua haijasaidia ingawa warts hazijawa nying kivile, naogopa kukatwa
 
kapotolo

kapotolo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2010
Messages
3,729
Likes
98
Points
145
kapotolo

kapotolo

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2010
3,729 98 145
nipo mwanza, leo nimeapply caustic pencil, inamaana haitanisaidia as inatibu common warts peke yake? Na hy cauterization ni tiba inayotumia muda gan? Maumivu? Podolyfin inanichubua haijasaidia ingawa warts hazijawa nying kivile, naogopa kukatwa
Cauterization ni njia ambayo vinyama hivyo hukatwa/huunguzwa kwa kutumia kifaa kinaitwa diathermy (kina ncha mbele - diathermy tip - ambayo hupata moto na kuunguza hizo warts. Wakati wa procedure hutasikia maumivu kwa kuwa utapewa dawa ya ganzi (anaesthezia) lakini utakuwa na vidonda kwenye vile visehemu ulivyokatwa, dawa ya maumivu itakuondolea maumivu hayo. It should take at least one week for you to feel better. Muda wa tiba unategemea na wingi wa warts zenyewe lakini usually within 30 minutes vinakuwa vimekatwa vyote.

Am afraid hizo caustic pencil (silver nitrate) hazitakusaidia, podophyllin(mama wajawazito hawaruhusiwi kutumia) ni much more effective. hizi caustic pencil ni effective kwa zile sunzua za sehemu nyingine ya mwili lakini kwa genital warts better go for cauterization.
 
ok thanx nimekuelewa, kesho nitaenda hospital nijue nitasaidiwa vp then nitarudi kutoa jibu
 
M

mzurisana

Senior Member
Joined
Jun 23, 2011
Messages
133
Likes
0
Points
0
M

mzurisana

Senior Member
Joined Jun 23, 2011
133 0 0
Caustic pencil naona imenichubua sn afu imeniletea maalama meng meusi, naomba unisaidie jinc ya kuyatoa hayo madoa meuc. Na hosptal ntaenda j3 ili nw nijipe muda michubuko iishe
 
LOOOK

LOOOK

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Messages
3,395
Likes
68
Points
145
LOOOK

LOOOK

JF-Expert Member
Joined May 17, 2011
3,395 68 145
pole ndugu nipe njia rahisi ya kukutumia dawa ambayo nina uhakika itakusaidia yenyewe niyamaji unaweka kuzunguka wart na inakauka hd inaisha kwani ina kausha hd shina tofauti na causti ambayo huwa haichom shina ndo mana inarudia tena lakin yenyewe ina choma hd shina ingawa itakuachia kdonda ambacho kikipona hakuma wart itakayo ota tena hapo nimebakinayo kidogo lakin naamin itatosha kwan huwek nyingi km una nia nijibu kwa email yangu lookkauk@gmail.com
 
Forum statistics

Threads 1,238,816
Members 476,185
Posts 29,331,796