B barnabie Member Joined Jul 13, 2011 Posts 44 Reaction score 6 Feb 9, 2012 #1 Anayefuga sungura atujuze jaman,nataka kufuga sungura lakin ningependa kujua jins yakuwafuga na kuepusha kupata magonja
Anayefuga sungura atujuze jaman,nataka kufuga sungura lakin ningependa kujua jins yakuwafuga na kuepusha kupata magonja
Cha Moto JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 945 Reaction score 154 Feb 10, 2012 #2 Tengeneza banda ambalo litakuwa at least one foot toka ardhini na weka wavu kwa chini, hii itasaidia wakati wa kusafisha uchafu, pia ni muhimu kuonana na daktari wa mifugo kila mwezi kuangalia afya ya sungura wako ..............
Tengeneza banda ambalo litakuwa at least one foot toka ardhini na weka wavu kwa chini, hii itasaidia wakati wa kusafisha uchafu, pia ni muhimu kuonana na daktari wa mifugo kila mwezi kuangalia afya ya sungura wako ..............