Mambo mengi MUNGU kakataza lakini tunayafanya kumbe twajilaani...hakuna sababu ya kumtafuta mganga au mchungaji kuondoa laana...Twendeni mbele za MUNGU tuombe rehema
ehee,hii ndi nilikua naitafuta
ha,ha,ha kuna mabinti mama zao moto chIla kuna wakidada nikiwaangalia najiuliza hivi ningekuwa nimewaoa na mama zao ndio hivyo wako machepele si ni milaana tu hiyo??
Mbona hii unaishadadia sana??
au ndipo milaana inapokukamatia hapo??
na Milaana inavyojua kungangani kizazi hadi kizazi yaanu unaweza kuzaliwa ukajikuta unatumikia laana ya kizazi cha nne
Ohooo my God
ha,ha,ha..... watoto wa mjini wamegeuza fashion
Ndoa zinavunjika kisa mmoja kagoma......
ha,ha,ha kuna mabinti mama zao moto ch
ini,nakumbuka wakati nafanya kazi mbeya kuna kuna jirani zangu alikua ana mabinti wazur vicheche mama yao naye mzur naye kicheche kila mtoto na baba yake,bas nikawa napenda sana kumsalimia yule mama na kumwiita ma,mkwe. siku moja ananiambia alafu ujue mi sipendi uniite hivyo kwani umeona siwezi?
ha,ha,ha..... watoto wa mjini wamegeuza fashion
ha,ha,ha, kwanza ukizubaa tu unakuta kaisha jiwekea,ukistuka unambiwa we mshamba ulikuja town na gar la mkaa
Solutions only is just to format ourself,kujisalimisha kwa Mungu kufanya maombi maalumu ya kufunja laana,iwe ni laana ya kurithi ama ya kucreate mwenyewe
Yes we have to install the software called J.E.S.U.S into our heart, that one can swap all the uasherati, uongo,uzizi,ulevi and all the laanas inside our heart and our body into salvation and our lives can resume to normal
kitalolo mimama mingine ukiisogelea kama inasumaku yaan,ha,ha,ha
teh,teh, mbona unacheka marejesho yalisha kukuta nini?dont try that at home even out of your home