......Sunday touch,.....tet us chat.PART ONE

Na alaaniwe mtu aifanyae sanamu ya kuchongo ... Kumbukumbu la torati 27:14
kumdharau baba na mama yako kumb. 27:16
kusogeza mipaka ya mashamba Kumb 27:17 (Hii ndugu zagu wa meru, machame,kibosho,oldmosh, marangu mpaka rombo inawahusu)
usipomwongoza kipofu kwenye njia sahihi Kumb.7:18
Mahakimu wanaopotosha hukumu kwa kufwata Ruswa haswa kwa wajane na yatima Kumb 27:19
Kumalala mamayo kumb 27:20
ku do na wanyama hii kwa wazungu siku hizi wanapenda sana kutoka mbwa kumb:21
kulala na dada yako kumb:22
kulala na mkweo kumb 27:23
 
usipotaka kuisikia sauti Ya Mungu Kumb 28:15
utalaaniwa mjini utalaaniwa mashamban, litalaaniwa kapu lako na chombo chako cha kukandia,utalaaniwa uzao wa tubo lakona uzao wa nchi yako ,utalaaniwa uingiapo na utalaaniwa utokapo

Hooo Glory to God Glory to Gody
 
kumtegemea mwanadamu kama ndiye mungu wako Yeremia 17:5
 
Alaaniwe alalaye na mama mkwe wake: Kumbukumbu 27:23
 
kitalolo yaan umeifulumua kumbukumbu ya torati 27:15-26 yote.sina swal

Kumtegemea binadamu-(a)yeremia 17:5(b)isaya 29:15(c)malawi 19:31
 
Last edited by a moderator:
Alaaniwe alalaye na mama mkwe wake: Kumbukumbu 27:23

marejesho kibongo bongo wanapenda hiyo una ma,mkwe kicheche anakutega mpaka unaingia kwenye 18 dah!unajibebea laana za kutosha
 
Last edited by a moderator:
mwaweza pia kujisoema zaidi katika

Neemia 13:23-25
Hesabu 23:13-14;27-30
1samweli 17:42-43
 
Last edited by a moderator:
marejesho kibongo bongo wanapenda hiyo una ma,mkwe kicheche anakutega mpaka unaingia kwenye 18 dah!unajibebea laana za kutosha

Mambo mengi MUNGU kakataza lakini tunayafanya kumbe twajilaani...hakuna sababu ya kumtafuta mganga au mchungaji kuondoa laana...Twendeni mbele za MUNGU tuombe rehema
 
Last edited by a moderator:
Udhalimu ,Uasherati,Kuabudu Sanamu,Uzinzi,ufiraji,kulawiti,wizi,ULEVI. 1Kor 6:9-10
 
hata mkuu Ruhazwe JR naona kwa msome kwanza hiyo na muitafakari kama mnataka mibaraka msienende kinyuma cha hayo.

Ila nashukuru mimi kwasasa nipita kwenye illumination period. namwomba sana God of my heart anivushe salaam na mama mkwe wangu hata sikuwahi kumwangalia na umri wake ushaenda matiti.
Ila kuna wakidada nikiwaangalia najiuliza hivi ningekuwa nimewaoa na mama zao ndio hivyo wako machepele si ni milaana tu hiyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…