......Sunday touch,.....tet us chat.PART ONE

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
3,402
Reaction score
944
wasalamu.
je wajua mambo yasababishayo laana?
Yapo mambo mengi yanayoweza sababisha laana,leo naomba kila mmoja atupia walau moja tu.

Mimi nasema Kunyoa denge(kiduku) na kuchora mwili(tatoo/tatuu) ni mwingoni mwa mambo yasababishayo laana-refer (a)walawi 19:27-28,(b)Yeremia 9:26

Ijumapili njema
 

Dah ...! basi walawi wali advance kitambo..., kiduku na tattoo tangu enzi hizo...!??
 
watoto watapata mibaraka au laana katika maisha yaokadiri ya maneno ya baba. laana na baraka zitadumukatiaka katiaka vizazi vyao nazo zikiishatolewa ziendelee kuwa nguvu wala hazifai kutenguliwa temna mwanzo 27:33,48:17-20
 
watoto watapata mibaraka au laana katika maisha yaokadiri ya maneno ya baba. laana na baraka zitadumukatiaka katiaka vizazi vyao nazo zikiishatolewa ziendelee kuwa nguvu wala hazifai kutenguliwa temna mwanzo 27:33,48:17-20

mkuu fungua kanisa aisee dah!
 
mibaraka hata ikiwa ni binadamu anayeitamka hiyo mibaraka inatekeleza yale yaliyotangazwa maana kwa njia yake huyo binadamu ndiye mungu anayebariki mwanzo 1:27,28 katika kuitia sauti ya Mungu 12:1-3; 14:19;
kuoa au kuolewa na taifa au kabila lililobarikiwa unajirithisha mibaraka 28:3-4

NB: LAANA NI KINYUME CHA BARAKA
 

kitalolo najuta kukubip
 
Last edited by a moderator:
asante....

Hapa umekoti malaki 1:4 nayo yasomeka, Ijapokuwa Edomu asema tumepondwapondwa lakini tutarudi na kupajenga mahali palipoachwa hali ya ukiwa.
Hiyo nayo ni laana iliyosababishwa na nini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…