Sumu ya kuuwa kunguru

Akthoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2007
Posts
1,053
Reaction score
1,133
Nataka sumu ya kuuwa kunguru kwani wanamaliza vifaranga wa kuku wangu pamoja na kunipa usumbufu mwingi!
 
Umekulia wapi?Ungekulia kijijini usingeuliza hili swali.
 
unaweza kuwapaka dawa ya mkeka hao vifaranga, na ukawaachia wakatembea na wasiliwe, hiyo ni nzuri sana. jaribu
 
Hiv hufahamu kama kunguru nae ana haki ya kuishi?Na tena MUNGU ametuagiza kutisha ndege,wanyama na vyote vyenye uhai?Mbaya zaid kama maliasil watakufahamu.
 
Dah kuwaua inabidi uwamalize wote ndio tatizo litaisha..........nenda ofisi za WCST wanatoa mitego ya kunguru ambayo ina sumu maalum ndani yake......muone ndugu Nyiti (WCST wako mkabala na Ubalizi wa Msumbiji baada tu ya PP Tower upande wa kulia kama unaenda Baharini)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…