Sumu ipi ya kuua popo?

Sumu ipi ya kuua popo?

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,614
Kwa yeyote anayejua namna ya kuua popo kwa kutumia njia tofauti na sumu za madukani .. naomba msaada.
Nasubiri msaada wenu wapendwa.
 
Maliasiri wamekuruhusu uwauwe hao popo?
 
Unaweza kufumua migongo yote wanako kaa kisha kata wire mesh zinazowekwa kwenye madirisha .Kata nyembamba nyembamba kunja vizuri zile ncha zinazochoma zitazamishe juu namaanisha kwenye ile migongo uliyotoa mabati na weka bati lako tena yaani ile kofia ya bati hapo popo hawezi ingia tena atachomwa na zile ncha za wire mesh
 
Back
Top Bottom