Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,576
Tv Used aina ya Samsung 32 inches HD inauzwa ipo Dar Airport area.
Offer Tsh 300,000/=
Offer Tsh 300,000/=
Sorry ni Samsung.Ni sumsung au Samsung mkuu?
HD ndio bei zake kwa used utauza tu hiyo mazee sema ungetupia na picha.
Ohh sawa, maana naonaga singsung, nika jua wame toa na hiyo.Sorry ni Samsung.
Kama ulinunuwa original hata uipigize chini chomeka socket ngoma inapiga kazi kama kawa.Nna Samsung 32" nlinunua ikiwa used 2020, kutoka zanzibar, mpak leo inadunda