HFOOO JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 683 Reaction score 652 Aug 14, 2019 #1 Nauza simu yangu mwenyewe ni sumsung s7 GB 32 nimeitumia miezi miwili tangu itoke dukani bei Tsh. 350,000/= haipungui
Nauza simu yangu mwenyewe ni sumsung s7 GB 32 nimeitumia miezi miwili tangu itoke dukani bei Tsh. 350,000/= haipungui
miss_blossom JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 1,607 Reaction score 2,155 Aug 15, 2019 #2 Weka picha
HFOOO JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 683 Reaction score 652 Aug 15, 2019 Thread starter #3 miss_blossom said: Weka picha Click to expand... Hiyo hapo uitazamapo hapo ndivyo lilivyo
miss_blossom JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 1,607 Reaction score 2,155 Aug 15, 2019 #4 HFOOO said: Hiyo hapo uitazamapo hapo ndivyo lilivyo Click to expand... Weka picha ya simu unayouza yaan unayoitumia kwa sasa hio picha umeweka umegoogle ndio nini sasa. Weka kile kitu halisi unachouza kaka
HFOOO said: Hiyo hapo uitazamapo hapo ndivyo lilivyo Click to expand... Weka picha ya simu unayouza yaan unayoitumia kwa sasa hio picha umeweka umegoogle ndio nini sasa. Weka kile kitu halisi unachouza kaka
HFOOO JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 683 Reaction score 652 Aug 15, 2019 Thread starter #5 miss_blossom said: Weka picha ya simu unayouza yaan unayoitumia kwa sasa hio picha umeweka umegoogle ndio nini sasa. Weka kile kitu halisi unachouza kaka Click to expand... Ok hapo sawa
miss_blossom said: Weka picha ya simu unayouza yaan unayoitumia kwa sasa hio picha umeweka umegoogle ndio nini sasa. Weka kile kitu halisi unachouza kaka Click to expand... Ok hapo sawa