Samsung mnaipenda lakini yenyewe aiwapendi TECNO mnaichukia ila yenyewe inawapenda[emoji120]Hapo unatulazimisha kupenda kitu tusichokipenda na kutuambia tuache simu za kishoga unakosea sana ndugu. Ustaarabu ni busara
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nayo. Masikini siku zote hutoa kauli za namna iyo. Usifikiri kuwa hata yeye anafrahia kutumia Techno sema tu hali yeke duni ndvyo ilivyo. Anatamani mwe wengi.Hapo unatulazimisha kupenda kitu tusichokipenda na kutuambia tuache simu za kishoga unakosea sana ndugu. Ustaarabu ni busara
Sent using Jamii Forums mobile app
Umasikini si dhambi ndo mana wanaume wana geuzwa mashoga kisa anunuliwe SamsungAchana nayo. Masikini siku zote hutoa kauli za namna iyo. Usifikiri kuwa hata yeye anafrahia kutumia Techno sema tu hali yeke duni ndvyo ilivyo. Anatamani mwe wengi.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Naomba msaada wako,ninasamsung GT-I9000 playstore (android market) haifunguki ina load muda mref then inaandika server error,simu nimenunua kwa mtuconnect with z3box then nenda kwenye repair then reset EFS ikimaliza hapo lazima ishike network vizuri kokote labda liwe ttzo la hardwareView attachment 583967
Ndo hiyo kwenye net yoyote inasoma 4g hata kama iwe 2g
Hata me natumia s6 hiyo shida naipata sana na niko dar. Hawa jamaa kama walitengeneza hizi simu zina shida za kufanana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iphone ndio simu za wanawake lakini Samsung ni simu janja kote kote zinatumikaSamsung tunanunulia wanawake tena hata wanawake wanao zipenda wengi wao ni MASHANGINGI sasa wewe dume na VIMKEBE VYA SAMSUNG WAPI NA WAPI????
Acha uongo Samsung simu za mashangingi shankupeIphone ndio simu za wanawake lakini Samsung ni simu janja kote kote zinatumika