Sijui samsung ina shida tu upande wa network.. mi niliponunua hii Note 3 yangu ilikuwa inasumbua mno network muda mwingine hata mtu akinitumia sms au kupiga hanipati inaandika no network ... sijui shida ni nini hasa lakini zinazingua sana hata internet ukiwasha data inaweza inawexa ikagoma kabisa kufugua chochote.... pia hii simu yangu inashuka mtandao hadi 2G sijui shida ni nini hasa. Hata mimi pia nahitaji solution.Msaada naomba mwenye kujua natumia sumsung galax s6 inasumbua kushika network zaman ilikuwa inashika vizuri lkn saivi inashika baadhi ya sehemu nikiwa nyumban haishiki nikienda mjin inashika kazini aishik nikihama eneo inashika nikabadili nikaweka line kwenye tecno j8 inashika full sehem zote sumsung inapokataa nifanyeje nimedata maana simu mpya nimejichanga kwa shida nikanunua
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti yupii.kwan ww ulinunua wapi???
Angalia kwenye setting Network huenda umeweka 3G only....halafu hakikisha hiyo ni S6 kweli maana mchina kwa clone ya Samsung hachezi mbli.Msaada naomba mwenye kujua natumia sumsung galax s6 inasumbua kushika network zaman ilikuwa inashika vizuri lkn saivi inashika baadhi ya sehemu nikiwa nyumban haishiki nikienda mjin inashika kazini aishik nikihama eneo inashika nikabadili nikaweka line kwenye tecno j8 inashika full sehem zote sumsung inapokataa nifanyeje nimedata maana simu mpya nimejichanga kwa shida nikanunua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkùu nenda setting mobile networks chagua iwe auto au 2g inawezekana ipo 3g tu na kijiji kwenu hakuna uwezo huoMsaada naomba mwenye kujua natumia sumsung galax s6 inasumbua kushika network zaman ilikuwa inashika vizuri lkn saivi inashika baadhi ya sehemu nikiwa nyumban haishiki nikienda mjin inashika kazini aishik nikihama eneo inashika nikabadili nikaweka line kwenye tecno j8 inashika full sehem zote sumsung inapokataa nifanyeje nimedata maana simu mpya nimejichanga kwa shida nikanunua
Sent using Jamii Forums mobile app
hardware problem...mcheki fundiMsaada naomba mwenye kujua natumia sumsung galax s6 inasumbua kushika network zaman ilikuwa inashika vizuri lkn saivi inashika baadhi y
a sehemu nikiwa nyumban haishiki nikienda mjin inashika kazini aishik nikihama eneo inashika nikabadili nikaweka line kwenye tecno j8 inashika full sehem zote sumsung inapokataa nifanyeje nimedata maana simu mpya nimejichanga kwa shida nikanunua
Sent using Jamii Forums mobile app
Achaneni na misimu ya kishoga tumieni TECNO yatosha mm nashangaa sana MTU kutoa mihela chunguzima kununua Samsung [emoji15] [emoji15]Hata me natumia s6 hiyo shida naipata sana na niko dar. Hawa jamaa kama walitengeneza hizi simu zina shida za kufanana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo unatulazimisha kupenda kitu tusichokipenda na kutuambia tuache simu za kishoga unakosea sana ndugu. Ustaarabu ni busaraAchaneni na misimu ya kishoga tumieni TECNO yatosha mm nashangaa sana MTU kutoa mihela chunguzima kununua Samsung [emoji15] [emoji15]
Samsung tunanunulia wanawake tena hata wanawake wanao zipenda wengi wao ni MASHANGINGI sasa wewe dume na VIMKEBE VYA SAMSUNG WAPI NA WAPI????Hapo unatulazimisha kupenda kitu tusichokipenda na kutuambia tuache simu za kishoga unakosea sana ndugu. Ustaarabu ni busara
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4][emoji4][emoji4]Eti yupii.kwan ww ulinunua wapi???
Af unaendaje kigoma na S6.?? Huko ni kutaka kuwatamanisha wakulima wa kigoma
Kumkoma nyani geladi
Acha mambo za ajabu, si umsaidie hapa hapa wengine wafaidike