chilamanyika
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 405
- 272
Ingependeza kama angekua anahudhurua hata mikutano ya kisiasaThis Is Sumbawanga
Tena mikutano ya ccmIngependeza kama angekua anahudhurua hata mikutano ya kisiasa
[emoji122][emoji122][emoji122] Hii imeshamaliza!sioni cha ajabu hapo, labda kama huwajui mbwa. wewe unadhani mbwa huwa wanajua vipi kua kuna jike liko kwenye joto upande wa pili wa mji?? mbwa ni miongoni mwa wanyama wenye uwezo mzuri wa kujifunza na kutunza kumbukumbu. kwenye misiba kuna vitu ambavyo ni common kama vile upatikanaji rahisi wa chakula (mbwa ni bingwa wa kufuata harufu), vilio vya waombolezaji (mbwa anauwezo mzuri wa kusikia na kutambua maana ya sauti) N.K
kwa taarifa yako huko moscow kuna mbwa wa mitaani ambao wanauwezo hadi wa kupanda treni na kwenda mitaa yenye chakula kisha wanapanda tena treni kurudi kwenye territory zao, mbwa hao pia wanauwezo mkubwa wa kosoma nyuso za watu kiasi kwamba hua wanaweza kutofautisha mtu mkarimu atakae wapa chakula na mtu asiyejali!!!
Na kupanga foreni, kuaga mwiliMleta mada unapenda sana Uchawi na wanga hata Bandiko lako limekaa kushabikia uchawi uchawi. Mbwa hana lolote hapo zaidi ya kuvizia Chakula.
Ningekua najua hiyo sayansi hiyo mbwa angehudhulia mazishi yako keshoBrother acha kuzuga watu hapa jamvini huyu mbwa ni wako wewe mwenyewe maana inasemekana wewe ndo mchawi mkubwa wa hicho Kijiji.u sharoga watu kibao hapo.acha unafiki broo
Ahahaaa,umepanic broo m huniwezi,m ni zaidi ya zito kabwe.jambo la msingi mkuu acha uchawi broo huyo mbwa ipo siku atakuumbua.Ningekua najua hiyo sayansi hiyo mbwa angehudhulia mazishi yako kesho