Pale suwanga timu ya klampeni ni kama Arumeru,mawakala kama Arumeru. Pia sasa hivi bendera chuma mlingoti chuma. Wewe fikiria ccm walipata kura 17328 na cdm kura 17132 walituzidi kura 196.Angalia yafuatayo:
Matokeo walichakachua.
Watu hawakuamka kama sasa hivi.
Tayari tumewashinda mahakamani mara mbili.
Tayari Baba yao kaamua kupumzika siasa.
Tayari wamemalizana neki na uvccm kwa kuweka watoto wao.
Msukumo wa mikutano ya cdm ni mkubwa sana kuliko hata kwa shishiemu.
Kura 196 zitapatiokana kwa waccm pekee waliojitoa kurudi cdm na wananchi waliokuwa hawakupiga kura.
Wazee wengi amabao ni shishiem wameendelea kufa na waliobaki wamekata tamaa na wengine wamejivua gamba.
Wananchi wanataka mabadiliko.
Mkapa kakubali matokeo baada ya kupigwa Arumeru.
Sumbawanga maeneo yao pia yamevamiwa na mtoto wa mkulima anatoka kwao.
Mtoto wa mkulima ameproof kuwa yeye ni mtoto wa bepari.
Hapa watapitia wapi mafisadi,labda wakapitgie mabwepande.:A S 465::spy::director:
Zitto anakubalika sana s,wanga, huyu hakwepeki kama cdm wanataka ushindi wa mapema..hata kura za cdm 2010 alichangia kwa kiasi kikubwa sana mie natishwa na hizi propaganda anazofanyiwa na baadhi ya watu humu jf
M4c daima. Tulianza na mungu!.........mwenye jibu anipe, kama hamna nipeni mji : ritz.zomba, na kundi lenu hamruhusiwi kushiriki.. Vigezo na masharti kuzingatiwa.