Sumaye kupoteza kumbukumbu

Mapirobe

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
683
Reaction score
117
Sumaye Fredrick amezidi kudhihirisha kuwa ni mtu anbaye kaanza kupoteza kumbukumbu kutokana na kusahau kauli zake anazotoa kila siku.

Sumaye alisema sifa za mtu kuwa rais kwanza ajipime mwenyewe kama anatosha, afya yake pamoja na ufisadi.

Lakini huyohuyo baadae akapoteza kumbukumbu na kusema tuchague hata kama ni fisadi au afya mgogoro.
 

Nikiwa rais michango na ada zote kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari zitafutwa..... Makofuli

Nikiwa rais ntawashughulikia wote wanaokula hela za michango mashuleni...... Makofuli.

Bora nani..... anayesahau ambaye hagombei chochote au anayesahau afu anataka kuwa Rais wetu???
 

Mkuu huu msumali umeupigilia kwa hasira sana pls unatuumiza.
 

Kweli nimeamini vijana wa ukiwa akili ni ndogo sana
 

Daaah nilivyokuelewa nimecheka mpaka machozi, jamaa kishoka huyu na ndo shida ya uongo hukawii kusahau.
 
Asante sana..
Naona wanagugumia kwa maumivu jinsi ulivyowakandamizia na hii.
 

Sumaye ni mwongo sana hafai ana uchu wa madaraka
 

Hiv haujui kuwa mashuleni kuna michango wazazi wanalipa tofauti na ada ambayo sio rasmi..?
 

Wewe naye kiboko.
Si ungemuuliza bosi wako Mbatia au Sumaye akupe mwanga kidogo.

Elimu bure haina maana haigharimiwi.
Ni kwamba mzazi au mwanafunzi hatalipa lakn gharama zake hulipwa kwa michango ya wahisani, bajeti au ruzuku ya serikali.

Hizo pesa ndo zitaenda kupigwa kiroho mbaya na wakuu wa shule.
Na lazima udhibiti uwepo.

Ushabiki mwingi mpaka unapoteza vitu vya msingi.
 


Asanteeee....
 

Hiv haujui kuwa mashuleni kuna michango wazazi wanalipa tofauti na ada ambayo sio rasmi..?

Kama macho yako yana matatizo nimekuonyesha kwa red labda utaona vizuri nilichoandika....
 
Kama mimi ni kiboko basi wewe ni kenge....

Wahisani wanatoa michango au misaada???

Kumbe serikali ya makofuli si ya kujitegemea.... kwahiyo atafuata nyayo za baba yake kwenda kuwanyenyekea wafadhili??

Afu nashangaa wanaolalamika alichokifanya Juma Nyosso wakati mengine mafisiemu mnayataka wenyewe....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…