SUMAYE Anamiliki mashamba ya miwa?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,098
8,727
Kama ni kweli basi sumaye atakuwa mmasai wa kwanza, kuwa mjanja na kweli alitumikia nchi kwa niaba ya tumbo lake. Wananchi w ruaha ndo wamenionesha mashamba wakidai ni yake na ana isa pale kiwanda cha sukar je ni kweli?
 
Kama ana shamba la miwa kuna shida gani? Uwaziri mkuu miaka kumi anashindwaje kuwekeza katika shamba la miwa na kuwa na hisa katika kiwanda cha Sukari? Au labda useme kuwa hakufuata taratibu na nk katika uwekezaji huo
 
Kama ni kweli basi sumaye atakuwa mmasai wa kwanza, kuwa mjanja na kweli alitumikia nchi kwa niaba ya tumbo lake. Wanmashamba wakidai ni yake na ana isa pale kiwanda cha sukar je ni kweli?
Kama ni kweli basi sumaye atakuwa mmasai wa kwanza, kuwa mjanja na kweli alitumikia nchi kwa niaba ya tumbo lake. Wananchi w ruaha ndo wamenionesha mashamba wakidai ni yake na ana isa pale kiwanda cha sukar je ni kweli?
Kwa hiyo hutaki Sumaye amiliki mashamba na kulima wakati nchi ni kijani?.
 
Kuna ubaya gani yeye kumiliki na kuwa na hisa, si alikuwa analipwa?
Ulitaka mshahara wake wote apeleke wapi..vimtu vingine vinakuwa na wivu wa kijinga na havitaki kuona yeyote akifanikiwa hata kama hakuna sababu!!
 
Kama ni kweli basi sumaye atakuwa mmasai wa kwanza, kuwa mjanja na kweli alitumikia nchi kwa niaba ya tumbo lake. Wananchi w ruaha ndo wamenionesha mashamba wakidai ni yake na ana isa pale kiwanda cha sukar je ni kweli?
Sumaye na Lowassa siyo Wamasai. Sumaye ni Mmbulu na Lowassa ni Mmeru!!
 
Kama huna taarifa sahihi ama utafiti juu ya jambo lolote kwa watanzania, pia huna haki ya kuleta majungu humu.

Nenda kaulize tena, ili kutimiza kazi yako hiyo isiyo na malipo.
 
Safi Sana kama anamiliki Shamba la miwa maana viwanda vitapata malighafi.
 
Chadema ni chama kikuu cha kutetea na kuhifadhi mafisadi Tanzania.

Ndio maana kila anayetumbuliwa kimbilio lake ni chadema!!!!!
 
Kama waziri mkuu aliyekaa miaka 10 kwenye wadhifa huo anamili shamba la miwa. Basi tunatakiwa kumheshimu na kukubali kuwa hakuwa mwizi na fisadi. Kwa wadhifa wake alitakiwa kumiliki viwanda vikubwa vikubwa kama nguo, sementi, banki, kampuni za bima, majengo marefu ya gorofa zaidi ya 20. Nenda hapo kenya uone kiongozi wa level ya waziri anamiliki nini.
Shamba, tena la miwa ambalo uvunaji wake ni wa mwaka. Jamani acheni wivu wa kike.
 
Kama ni kweli basi sumaye atakuwa mmasai wa kwanza, kuwa mjanja na kweli alitumikia nchi kwa niaba ya tumbo lake. Wananchi w ruaha ndo wamenionesha mashamba wakidai ni yake na ana isa pale kiwanda cha sukar je ni kweli?
Ni biashara nzuri sana tafuta namna ulime miwa utapiga hela.
Be positive acha kufikiria umasikini TU kama unavyotakiwa uishi na mtukufu
 
Back
Top Bottom